Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Haahaha uzuri waliuza swali kwa lugha ya kiingereza! Naamini waliopig kura ni watu wenye uwezo wa kufikiri vizuri na kutambua mambo kwa undani! Tulieni Machwa hii ni wenu!
Wanaomjua Mkapa alifanya nini ni wenye umri wa 50 years and above ambao ni less than 20% ya population. Na kati ya hao wanaoingia kwenye mitandao ni less 40%.

Ungeniuliza mimi ningekuambia marais wote kuanzia Awamu ya 4 wanatembelea kwenye misingi ya BW Mkapa.

Kura kama hii huwezi kuifanyia statistical analysis kwa kuwa hujui demographic factors zake.
 
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonyesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikua sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Kwa nini wasiweke wanayemtaka wao?

Hovyo kabisa.
 
JPM kusahaulika mioyoni mwa watu ni kazi sana
Wengine walisimamia mengi lkn hawakuwa ma kipengele cha propaganda kama wengine. Magufuli hata akikohoa ni habari, akienda kanisani Jumapili na dunia yote inajua na wasanii wataongea usiku na mchana. Wananchi kwa attn kelele zitafika kila mahali pigisha kula utapata analysis

Analysis ni pale ufahamu unapokuwa mkubwa siyo ktk mazingira ya vuvuzela kama vile wengi wa naona Bashite ndiye anafanya kuwa dereva wa treni yaJMT😂😎🏌️‍♀
 
Poll ni research, kuweka poll online inamaanisha unatafuta majibu na si kuwa una majibu yako. Binafsi sijaona walipokosea au "kujivua nguo" Ila pengine wanaopokea majibu ndio wana matatizo

Utafiti ni utafiti tu
Wao walitegemea majibu ambayo walioulizwa hawakuyaunga mkono, badala ya kukubali matokeo wanakana vitendea kazi vyao kuwa ndiyo vibovu!
 
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonyesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikua sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Ukiacha mwinyi, samia ndio raisi mbovu kuliko wote,
 
Wanaogopa sana maana Mama anaupiga mwingi! So wanaenda kinyume na wimbo lazima wa RESTRACT!
Aliyosema Hashim Rungwe, kwamba wanasiasa wa upinzani hupewa rushwa wakati wanapoitwa kukutana; ni hayo hayo hata huku kwenye vyombo vya habari.
Hawa Mwananchi wananufaika na rushwa wanayopewa waandike mazuri tu ya serikali mbovu.
Wanaogopa kutia kitumbua mchanga.
 
Back
Top Bottom