Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Hapo nimewaza kuwa, 2025 kulia tuweke picha ya Mwendazake, Alafu kushoto tuweke saa100,

Mwendazake lazima aibuke na ushindi kiti cha uRais 😀😀😀
kuna jimbo marekani walishakua na meya mbwa na binadamu wapi kibao wenye sifa ila mbwa akawa meya ndio bongo ipo siku tutaamua kuchagua mzimu wa magu kuliko hawa walioko hai sawa na wafu waliooza
 
Hii nchi inataka mtu kama JPM ili iende nje na hapo watakula wachache na nchi haitaenda. Sometime sheria ipindwe kuokoa watu. Mtu mwizi kesi inachukua muda afungwe tu kwanza kesi baadae
 
😂 😂 😂 Chawa unajitahidi ila watu ndio wamegoma mama hakukaliki.

Hadi maiti imemgalagaza
Jibu hoja, hayo ya kugalagaza mtandaoni yana impact gani kwenye urais wa Samia? Kwamba JPM atafufuka awe Rais ama? Akili mbovu sana wafuasi wa JPM!!
 
kuna jimbo marekani walishakua na meya mbwa na binadamu wapi kibao wenye sifa ila mbwa akawa meya ndio bongo ipo siku tutaamua kuchagua mzimu wa magu kuliko hawa walioko hai sawa na wafu waliooza
Ni kweli kabisa. Picha ya Magu inaweza shinda
 
Nyie matahira sikutwa mlikua mnatekwa na yule shetani na yule domo kaya wenu alitiwa shaba huyo mnayemsifia leo
Kwani kuna kiongozi bongo hakuwai kuwa katili!?
Mbona hayo kipindi cha Kikwete yamefanyika sana!?
Licha ya madhaifu aliyokua nayo marehemu ila hili taifa lilinyooka lilikua linaelekea pazuri.
Ila sasa hivi hili taifa linaelekea shimoni,taifa la sasa hivi limekua MAN EAT MAN SOCIETY.
 
Jiwe alikua killer
HAKUNA RAIS HAPA TZ AMBAYE HAJAWAHI KUWA KILLER.
Isipokua tu Magufuli hakuwa mnafiki kama viongozi waliopita mathalan Nyerere na Kikwete ambao wamekua wakiua kimya kimya.
Huwenda mtoto wa juzi hukufuatilia siasa za bongo.
Ila yote ya yote tunatizama impacts za Magufuli.
Magufuli amefanya transformation moja kubwa sana katika hili taifa.
 
Nilijua mapema na nilisema walio hai kushindanishwa na wafu haya mmemvua nguo mtu, waendelee kucheza na jina Mwendazake kwenye ajenda zao watadhalilika sana!
imeandikwa...... walaaniwe wale wote wamtegemeao binaadamu..... kamfukueni sasa
 
kuna jimbo marekani walishakua na meya mbwa na binadamu wapi kibao wenye sifa ila mbwa akawa meya ndio bongo ipo siku tutaamua kuchagua mzimu wa magu kuliko hawa walioko hai sawa na wafu waliooza
😬😬😬😬😬😬
 
Back
Top Bottom