Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Waliopiga kura itakuwa wanyonge walalahoi wala mihogo tu
Wanyonge, walala hoi wala mihogo hawana access na The Citizen. Wote tunajua aina na haiba ya watu wanaofuatilia Media kama hiyo.
 
Sema kura itakuwa imepigwa na vijana wengi wa 2000 na watu flani hivi wa vijijini ndio maana matokeo yapo hivyo.
1. BM
2. JK



3. SSH


4............
Watu wa vijijini na The Citizen wapi na wapi shekh. Na kama kura wakipiga wa vijijini, watu kama SSH hawataambulia kura yoyote.
 
Kupanda madaraja ya mshahara ni statutory ila kwa JPM haikuwezekana ila mama kaingia na watu walipandishwa madaraja ya mishahara.

Then kuna increment ya mshahara hata kama ni 2-5 percent ila aliongeza mwaka jana even though watu walikejeli ila aliongeza.

Sasa kama JPM hakulipa mishahara na miradi alijenga kwa mikopo mama anawezaje kufanya miradi, huku anaajiri huku anaongeza mishahara na uchumi hauporomoki?
😂 😂 😂 Chawa unajitahidi ila watu ndio wamegoma mama hakukaliki.

Hadi maiti imemgalagaza
 
Malikia wahuni eanajipigia tu.

Akikosa hela anatafuta kitu cha kuuza anauza kwa waarabu, maana mikopo alikuwa anajikopea tu hadi watu walipo piga kelele.

Alipoona vitu vya kuuza vimeisha akaingia kwa wanyonge kuwakamua kodi kwenye LUKU eti kodi ya jengo

Machawa yanajitahidi kumpaka mafuta ila wapi
 
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.

View attachment 2973698View attachment 2973699
Samia anakubalika na wala rushwa pekee
 
Hawana sababu za msingi za kuomba radhi
 

Attachments

  • IMG-20240506-WA0016.jpg
    IMG-20240506-WA0016.jpg
    49.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom