Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Na huo ndio UKWELI na uhalisia ulivyo hata huku mtaani!

Sio hayo mapambio ya eti mama anaupiga mwingi!? ..waaapi!?

Na hapo Bado sikuiona hii!..! NILIKUWA SIJA-CAST KURA YANGU!

NINGEPIGA KURA NA MIMI...MNGEENDELEA KUMVUA HUYO MAMAENU NGUO!... NA KUENDELEA KUSHUKA PENGINE HADI -0.001%

Hayo ya mwananchi(gazeti) kuomba radhi.... Ni matakwa/ maagizo kutoka juu...

Wameona uhalisia ulivyo kwa ground!...Mwananchi hawajaomba radhi kwa utashi wao!
 
Mhariri wa hilo gazeti la kipumbavu afunguliwe mashtaka. Anatumia uhuru wake kijinga.
Kwani online polls si ni moja ya tafiti tu mkuu. Hata wewe ukiingia Twitter unaweza anzisha poll yako na majibu yanakuwa si yako ila ya wapiga kura

Ukisema uhuru unatumika vibaya kwa petty issue kama hiyo, no wonder investigative journalism kwa Tanzania ni kama imekufa
 
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonyesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikua sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤝🤣👍
 
Back
Top Bottom