Mabasi ya Mtwara, Lindi na Tanga na zile bots za pemba na ugunja huwezi kuta nyimbo za Roze muhando wala bahati bukuku...ni swaga za Istaadh kipozeo na Nyundo wakisindikza kwa kaswidaa kwa mbaaaali.Mzee siupande yale hufungulia kaswida mwanzo hadi mwisho na mahubiri ya Mtume Muhamadi Muda wote shida nini? We ndio unaleta udini.
Unaweza isemea na kero ya udini kwenye Azam marine?Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari.
Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo zinakuwa zimeegemea dini moja na kubagua nyingine kitendo ambacho kinachochea udini
Vilevile sauti kubwa kupita kiwango jambo ambalo linawaumiza abiria wengine wanaohitaji umakini
Tatizo kumwita binaadamu mwenzako mungu huyo yesu ukikutana nae mbinguni atakuruka atakuuliza wapi nilikwambia mimi mungu?Nadhani unaufahamu tu mdogo Juu ya tofauti Kati ya dini na Imani
Ila nikuambie Na maneno haya Yakae Moyoni mwako. Kuna siku utatamani laiti Ningemuamini Yesu Kristo Nilipokuwa Duniani Wakati huo kutakuwa Hakuna Namna tena. Yesu Ndie njia kweli na uzima
Mwingine ni uongo wa shetani.
Nikuombe Wacha wengine wasikilize hata kama wewe hutaki Kuliko kuongeza hila zingine huku mtandaoni. Asante
Mbona hazana inapigwa sa 11 alfaji watu tumepumzika mchana sa7 sa 12 jion sa 2 mpaka nikaamua kuhama pwani so potezea kama tunavyopotezeaMabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari.
Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo zinakuwa zimeegemea dini moja na kubagua nyingine kitendo ambacho kinachochea udini
Vilevile sauti kubwa kupita kiwango jambo ambalo linawaumiza abiria wengine wanaohitaji umakini
Imani Yao haienezwi Kwa kuhubiriwa Inaenezwa Kwa upangaMkuu, je mabasi yanayo milikiwa na waislamu nayo wanawaburudisha ABIRIA kwa nyimbo za injili?
Pili, waislamu wa kweli wanaiamini injili. Wenyewe wsnaita INJIL.
Kama muislamu wa kweli nyimbo za kumsifu YESU zitakua hazikupi shida.

Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari.
Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo zinakuwa zimeegemea dini moja na kubagua nyingine kitendo ambacho kinachochea udini
Vilevile sauti kubwa kupita kiwango jambo ambalo linawaumiza abiria wengine wanaohitaji umakini
Sasa umepanda Bas mmiliki na wafanyakazi wana wa Israel sasa unategemea kukuta kaswida mle tafuta lenye kaswida pandaHata muislam anaamini hivyohivyo kwenye dini yake kwahiyo huna jipya mzee
Hakuna mkristo mwenye imani haba ya kulalama mambo madogo kama haya nikikupa mfano tuu mbona nyinyi wasaa Pelosi mnalazimisha kuchimba wanyama kwenye machinjio uliwahi kusikia mkristo kahoji hili mbona mmejaa chuki kila upande mungu gani aliyewaagiza laana hziiHapa utawakuta Wagalatia wakitumia nguvu nyingi kutetea, Lakini wao ndio huwa wanaongoza kulalamika kwa ishu kama hizi