wizara ya kilimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngatungas

    SoC04 Mradi wa BBT kwa Vijana ufanyike kila wilaya na uunganishwe na VETA Pamoja na 10% ya Halmashauri iliyoboreshwa

    Ni wazi kwamba Ajira kwa vijana imekuwa ni kilio kwa kila Familia hapa nchini. Na hata kuwa Agenda/Fursa kwa wanasiasa pia. Ila mwiba wa hicho kilio kinapaswa pia kianzie na sera madhubuti zilizoboreshwa zinazolenga kutatua changamoto hii. BBT KWA KILA WILAYA ~• mradi huu wa Building Better...
  2. K

    Nimemkubali Bashe kuwa yuko imara katika kuiongoza wizara ya kilimo

    Nimemsikia Mhe. Bashe akihitimisha hotuba yake ya Bajeti ya Kilimo 2024/25 kwa kweli Mhe. Bashe yuko vizuri na imara katika kuongoza Wizara ya Kilimo. Mhe. Bashe amezungumzia zao la ufuta, korosho, pamba, kahawa na mazao mchanganyiko. Kwa maelezo yale kama Serikali itifanyia kazi ushauri wake...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Nicholaus Ngassa Aeleza Jinsi Jimbo la Igunga Linanufaika na Bajeti ya Wizara ya Kilimo

    Mbunge Nicholaus Ngassa Aeleza Jinsi Jimbo la Igunga Linanufaika na Bajeti ya Wizara ya Kilimo Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa Akimpongeza Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Mohammed Bashe baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha Bajeti ya Wizara ya Kilimo...
  4. A

    DOKEZO Kasulu: Eneo la NYAKITONTO, Kamchape wanahatarisha usalama wa raia na Polisi wapo kimya!

    Ni muda sasa kumekuwepo na hili wimbi la watu wanaojiita kamchape kiboko ya kutoa uchawi katika wilaya ya kasulu. Mwanzoni Serikali kupitia jeshi la polisi walitoa maonyo kuhusu hawa watu lakini wananchi wengi waliyapuuza. Kinachotokea sasa wanadhalilisha watu, wanatengeneza chuki dhidi ya...
  5. benzemah

    Hoja ya kuwahamishia maafisa ushirika katika tume ya maendeleo ya ushirika na maafisa ugani chini ya Wizara ya Kilimo

    (Chini ya Kanuni za 60(2) na 61 za Kanuni za Kudumu za Bunge Toleo la Februari, 2023) Mheshimiwa Spika, natambua kuwa mwaka 1998, Serikali ilifanya mabadiliko ya Muundo wa Serikali na kufanya uamuzi wa kugatua madaraka (Decentralization by Devolution) kutoka Serikali Kuu a kuyashusha ngazi ya...
  6. S

    SoC03 Kilimo cha umwagiliaji Tanzania

    Tanzania ni nchi ambayo imebarikiwa vyanzo vingi vya maji na ardhi kubwa na yenye rutuba Kutokana na ufinyu wa ajira juu ya vijana wetu waliomaliza vyuo na kubaki majumbani wakisubiri ajira, serikali kupitia wizara yake ya kilimo ingetumia nguvu kubwa juu ya vijana kujikita katika kilimo cha...
  7. Stephano Mgendanyi

    Wizara ya Kilimo Ianzishe Dawati la Kusikiliza Kero za Wafanya Biashara

    MHE. EDWIN SWALLE - WIZARA YA KILIMO IANZISHE DAWATI LA KUSIKILIZA KERO ZA WAFANYABIASHARA MAGETINI Mbunge wa Jimbo la Lupembe Mkoa wa Njombe, Mhe. Edwin Enosy Swalle ameshauri Wizara ya Kilimo kuanzisha dawati maalum la kusikiliza na kushughulikia kero za wafanyabiashara kutokana na changamoto...
  8. brokenagges

    Pongezi Wizara ya kilimo

    Pongezi kwa Serikali ya Samia kwenye Sekta ya Kilimo. Kupitia serikali hii ya Rais Samia jitihada nyingi sana zinafanyika katika kufanya mapinduzi ya Kilimo nchini ili ile slogan tunayotembea nayo siku nyingi “Kilimo ni uti wa mgongo wa Mtanzania,” iwe na uhalisia. Wengi tumeliona hili...
  9. Roving Journalist

    Makadirio ya mapato na matumiziya fedha ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2023/2024

    Hotuba ya Waziri wa Kilimo, Hussein Mohamed Bashe (mb), kuhusu makadirio ya mapato na matumiziya fedha ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2023/2024
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Condester Sichalwe aishauri Wizara ya Kilimo kufungua dirisha ili Wakulima wapate Pembejeo mapema

    MBUNGE CONDESTER SICHALWE AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUFUNGUA DIRISHA ILI KUPATA PEMBEJEO ZA KILIMO MAPEMA Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Kilimo ambalo lilijibiwa na Naibu Waziri...
  11. Ngungenge

    Ushauri kwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

    Kwanza nakupongeza kwa kazi nzuri unayofanya wizara ya kilimo. Mimi ni kati ya wachache niliyewahi kutoa maoni kuwa Upewe Wizara ya kilimo na Alhamdulilah Mh. Rais akakuona na ukapewa uwaziri kamili. Kwakuwa nakujua wewe u mtu mchapakazi sana na unaejitoa usiku na mchana bila kuchoka, napenda...
  12. Stephano Mgendanyi

    Masache Kasaka, Mbunge wa Lupa-Chunya Azungumzia Bajeti Wizara ya Kilimo

    MBUNGE MASACHE KASAKA AZUNGUMZIA BAJETI YA WIZARA YA KILIMO "Serikali umeweka utaratibu mzuri wa kuchukua vijana na kuwaweka katika makambi, nashauri tuwachukue vinana ambao wameshajiajiri tayari katika kilimo na tuweze kuwapa kipaumbele, hata benki inamkopesha mtu ambaye ameshaanza biashara"...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Aloyce Andrew Kwezi Aishauri Wizara ya Kilimo Kujenga Kiwanda cha Kuchakata Tumbaku Kaliua

    MBUNGE ALOYCE KWEZI AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUJENGA KIWANDA CHA KUCHAKATA TUMBAKU KALIUA Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Tabora Aloyce Andrew Kwezi wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo amewaomba wabunge wote kuunga mkono hoja ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyosomwa Bungeni na...
  14. Stephano Mgendanyi

    Mradi wa BBT Usipofanya Vizuri Tutawalaumu Wizara ya Kilimo

    KOMREDI KAWAIDA - MRADI WA B.B.T USIPOFANYA VIZURI TUTAWALAUMU WIZARA YA KILIMO Kilombero. Wakati Wizara ya Kilimo ikitekeleza mradi wa Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM), Mohammed Kawaida amesema chochote kitakachokwama lawama ataitupia wizara hiyo. Kauli...
  15. G-Mdadisi

    Wizara ya Kilimo Zanzibar yaridhishwa Utekelezaji wa AGRI-CONNECT kuwainua Wakulima

    WIZARA ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar imepongeza hatua zinazochukuliwa na wadau wa maendeleo katika kukuza na kuimarisha thamani ya kilimo cha Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar kupitia miradi inayotekelezwa nchini. Hayo yamebainika kufuatia ziara ya kutembelea wakulima...
  16. peno hasegawa

    Bajeti ya wizara ya kilimo awamu ya tano ilikuwa 250 bilion awamu ya sita 950 bilion. (Mkulima yupi amefaidika?)

    Kuna clip ya Kibajaji nimekutana nayo mtandaoni ,eti bajeti ya wizara ya kilimo sasa ni bilioni 950. Nimejiuliza Kibajaji amechukua figure za maandishi kwenye bajeti ya kilimo au fedha hizo zimeonekana wapi na zimefanya kazi gani? Kibajaji hajui kuwa fedha zinazosomwa bungeni ni maandishi tu...
  17. mgt software

    DOKEZO Taarifa za kiuchunguzi kwenda Wizara ya Kilimo na Wizara ya Mifugo juu ya Ukaribishaji wa Jangwa na Njaa

    Wana JF Nimekusanya taarifa za kiuchunguzi katika mikoa mbali mbali hasa inayolima ndizi. Baada ya ujio wa upandaji miti ya mbao aina ya patula pine (pinus patula) nimegundua vitu vingi vimeanza kupotea kutokana na watu wakidhani wameyakabili maisha kwa kupanda miti hii baadae wauze mbao...
  18. O

    SoC02 Kilimo

    Kilimo-ni shughuli inayofanywa na binadamu kujipatia chakula cha kujikimu kupitia mazao ya chakula na biashara mfano: mahindi,viazi, mihogo, mtama,ulezi,pamba,katani,mikonge nakadhalika na kilimo cha wanyama mfano: ng'ombe,mbuzi,kondoo, nakadhalika na uvuvi wa samaki.kilimo hupaswa kuwa njia ya...
  19. M

    SoC02 Migogoro ya Wafugaji na Wakulima,kweli ni Donda ndugu lisilopona mbele ya Serikali na wasomi?

    Athari za Migogoro ya Wafugaji na Wakulima. Migogro hii imekuwa ikisababisha upotevu wa rasilimali kwa raia, jamii na serikali kwa ujumla, uharibifu wa mali, uhai wa raia na mifugo kwa ujumla. Kwa miaka mingi katika nchi yetu tumekuwa tukiishi na jamii za kifugaji (pastoralists) kama wamasai...
Back
Top Bottom