online

In computer technology and telecommunications, online indicates a state of connectivity, and offline indicates a disconnected state. In modern terminology this usually refers to an Internet connection, but (especially when expressed "on line" or "on the line") could refer to any piece of equipment or functional unit that is connected to a larger system. Being online means that the equipment or subsystem is connected, or that it is ready for use."Online" has come to describe activities performed on and data available on the Internet, for example: "online identity", "online predator", "online gambling", "online shopping", "online banking", and "online learning". Similar meaning is also given by the prefixes "cyber" and "e", as in the words "cyberspace", "cybercrime", "email", and "ecommerce". In contrast, "offline" can refer to either computing activities performed while disconnected from the Internet, or alternatives to Internet activities (such as shopping in brick-and-mortar stores). The term "offline" is sometimes used interchangeably with the acronym "IRL", meaning "in real life".

View More On Wikipedia.org
  1. Moseskyey

    How To Build A Successful Blog And Make Money Online memo

    Jinsi ya Kujenga Blogu Inayofanikiwa na Kupata Pesa Mtandaoni 💨 Chagua mada unayopenda na inayoweza kuwa na hadhira inayoweza. Fanya utafiti kuhusu mada na mwenendo wa sasa ili kupata niche unayoweza kuandika. Unda blogu kwa kutumia jukwaa kama WordPress au Blogger. Chagua jina la kikoa...
  2. R

    Kwa wataalamu wa online banking CRDB karibuni tubadilishane mawazo

    Habari za majukumu kila mmoja, Niko nchini Israel kwa sasa ila Huwa nikipata pesa huku (shekhel) Huwa nakutumia kwa kadi yangu ya visa ya crdb ambayo ninayo huku. Tatizo ni kuwa Sina uwezo wa kujua kama pesa yangu ipo kwa account yangu kama nilivyotuma. Ndipo wazo la online banking likanijia...
  3. Juakali jr

    Usinunue vitu online kwa kutipia TIGO MASTERCARD!

    NItakupa sababu mbili muhimu kwanini usitumie kadi yako ya TIGO mastercard kununua vitu online. 1. Hii kadi wameunganisha mojamoja na akaunti ya Tigopesa, hamna control ambayo mteja unakua nayo kudhibiti kiwango cha juu ya muamala pale ambapo akaunti yako inakiasi cha kutosha kufanya muamala...
  4. sifi leo

    TAKUKURU, kwenye leseni za biashara online na za Wizara ya Fedha kuna rushwa inatolewa kwa nguvu

    Kuna wakati niliwahi kuja na uzi hapa nikimlalamikia Waziri wa Fedha kutwa na usiku anasaini mikataba ya kuomba mikopo ilihali kwenye data base yake ya kuhusu watu wanao omba leseni za biashara mbalimbali wamewasilisha Maombi ili waweze kukata leseni na kufanya biashara. Binafsi nilikuwa mhanga...
  5. L

    Making money online - Maswali na Majibu.

    Je, ni kweli unaweza kufanya kazi na kupata pesa kupitia mtandao? Ndiyo, inawezekana kufanya kazi na kupata pesa kupitia mtandao. Je, ni kazi gani mtu anazoweza kufanya kupitia mtandao? Ni kazi nyingi karibu kila kazi inayoweza kufanywa ukiwa mbali (remotely) inaweza kufanyika mtandaoni na...
  6. G

    Wafahamu kuhusu free spins za Online Slots?

    Kuna mtu mpaka sasa haamini kua watu wanapata pesa kupitia hizi kampuni za kubet, michezo sana sana slots na mingine kama Aviator na Zeppelin ya Sokabet. Naomba niongelee kidogo na kwa ufupi bonasi inaitwa free spins katika slots na unavyoweza kuzipata. Kwanza kabisa ijulikane ni ubashiri na...
  7. S

    Hongera BoT kwa utaratibu wa watumishi kukopa benki kwa njia ya mtandao, japokuwa mikopo umiza mitaani bado imewashinda

    Serikali kupitia BoT, wamekuja na utaratibu mpya unaoelekeza mikopo ya Watumishi kutolewa online ambapo Mtumishi ataomba mkopo mtandaoni kuputia Watumishi Portal. Hongereni sana kwa utaratibu huu unaondoa kero ya wafanyakazi kukaa foleni benki kusubiri kuonana na Afisa Mikopo wa Benki na...
  8. GoPPiii.

    Sites za uhakika na tips za kuagiza online

    Nakuja mbele yenu maomba msaada wa:, 1/ Sites bora za kuagiza bidhaa haswa nguo online. 2/Mtaji 3/Muda wa bidhaa kukufikia haswa toka China 4/Agents wa uhakika wa kusafirisha bidhaa 5/Tips za kuwa makini.
  9. Kilimbatz

    Yanga nambari wani kwa online engagements katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati

    Bila mbeleko wala maelekezo toka juu, Yashika nafasi ya pili Afrika Kwa kufuatiliwa katika mtandao wa Instagram kwa mwezi September Na Kwa wasijua namba hizi zinareflect kile ambacho Yanga anaenda kufanya kimataifa Kwa kimataifa namanisha Klabu Bingwa na Klabu Bingwa Dunia Mafanikio bila...
  10. luangalila

    Imekaaje hii wasap last seen inasoma muda wa jana ilihali mtu yupo online

    Wakubwaa eh Msaada tutani hiyo imekaa vipi nilimtumia mtu message ya wasap jana lkn ameisoma leo lkn bado mpokea ujumbe last seen anaonekana muda wa jana
  11. Kilimbatz

    Simba na Yanga ndiyo miamba ya Online Engagements Afrika nzima

    Ukiangalia ukurasa rasimi wa X wa CAF Champions League tangu kuingia kwa makundi utajionea kitu Cha kushangaza na kufurahisha pia Tangu admin wa ukurasa ule alipoanza kutoa kadi za pongezi Kwa miamba iliyoingia CL ni kadi mbili tu ambazo zimepata engagements kubwa sana Na hapa namanisha...
  12. M

    Ni huduma gani zinafanyika mtandaoni?

    Huduma zipi zinatolewa online nataka kujua ili hata mtu mwenye computer na printer aanze biashara. Mfano: Rita- vyeti vya kuzaliwa
  13. Kilimbatz

    Yanga yaongoza kwa online engagements katika ukurasa rasmi wa CAF

    Ukifuatilia ukurasa wa CAF kule mtandao wa X Kwa siku ya Jana tu timu ya Yanga ndo ilioongoza kwa engagements. Ukiangalia kadi zote zilizopostiwa za kuvipongeza vilabu vilivyofuzu kuingia makundi ya CAF CL hakuna iliyoongoza kama uya Wananchi Hivyo mkiambiwa kuwa siye ni watatu kwa Afrika...
  14. OLS

    Waziri Nape Nnauye, inakuaje unajisifu kuona Watanzania milioni 5 ndio wako online? Je, nia ya kutaka 100% wawe connected ni ya kweli au siasa?

    Waziri wa Mawasiliano, Nape Nnauye akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Hospitali ya Mkoa ya Rufaa, Lindi amejisifu kuwa na digital divide kubwa mbali na kuwa yeye ndiye Waziri wa mawasiliano, tukiamini anafanya kazi kuhakikisha watu...
  15. Erythrocyte

    Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewasili Ngorongoro ambako anatarajiwa kuwasha moto wa Ukombozi na kukata minyororo ya Utumwa waliyofungwa Wamasai. Nakala : Maulid Kitenge Angalizo : Usiondoke JF kuna mambo mazito mno yanakuja .
  16. C

    Fomu za talaka zijazwe online

    Nina hoja. Ili kupunguza visa vya Wanandoa kuendelea kuwekeana chuki na kuumizana wakati wa mchakato wa kutengana kimahakama, naona ni vema fomu za TALAKA ziwekwe kwenye mifumo ya mahakama mtandaoni ili watalaki wawe wanajaza huko. Ikiwezekana maamzi yawe yanatolewa kupitia mifumo salama ya...
  17. U

    Anayeijua App nzuri ya kukata online tickets za mabasi hapa Tanzania anijuze

    Naomba anayeijua app nzuri ya kukatia online tickets za basi hapa Tanzania anijuze tafadhali! Nimejaribu app ya e-ticket kilichonipata sina hamu kabisa!!!
  18. Mjomba Nchumari

    Biashara ya Online Media: Natafuta Patner

    Habari za kazi wakuu !! Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uhai na kuendeleza harakati za maisha, niko hapa kutafuta mtu aliye serious tufanye biashara ya Online Media. Mimi nina uzoefu wa miaka 5 kufanya kazi hizi ninaweza kuendesha (manage) page zote kuanzia Facebook, YouTube, Instagram...
  19. M

    Biashara gani nifanye kuanzia leo july,august,september,november ,december na january?

    Kutokana na kuwa na wimbi la kila organisation kuweka system zao ONLINE. Je kwa uhitaji huu wa mambo ya online mfano kuhakiki vyeti,passport,vyeti,leseni,police fine, na mambo mengi tu. Unanishairi nifanye kitu gani na miki niingize mia miambili? Nifanye biashara gani? Itakayo nilipa? Niko mbagala
  20. carnage21

    Timu ya kwanza Tanzania kumiliki app,Timu ya kwanza Tanzania kuuza jezi online kwa zaidi ya 70k.

    Nakumbuka baada ya mafanikio makubwa 2012/13 viongozi wengi kutoka Halmashauri za Miji tofauti mikubwa na midogo, walisafiri kilomita nyingi kwenda Mbeya kujifunza jinsi gani Halmashauri ya jiji la Mbeya ilivyofanikiwa kuitengeneza @officialmbeyacityfc hadi kupata mafanikio yale! Namna...
Back
Top Bottom