mzanzibari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    Tundu Lissu alishambuliwa na watanganyika, mzanzibari akaenda kumpa pole, aliwakimbia watanganyika, mzanzibari kamrudisha

    Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana. Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo...
  2. Cheology

    GSM ni Mzanzibari?

    Sikuwa najua kuwa Salaa ni ndgu wa GSM family lakini matukio yanatuhqbarisha. Kitendo cha makonda ku confront na salaa mkeka umemuhusu. Lkn sasa lazima niulize pia je hawa watu wana asili ya Zanzibari?
  3. Wimbo

    Rais Samia; mwisho wa siku wewe ni Mtanzania Mzanzibari mkazi wa kizimkazi

    Tunamshukuru Mungu kwa kukutunuku nafasi hiyo, kama ulivyosema mwenyewe " uliluzukiwa" na kweli it was not easy for you kukalia kiti hicho kwa sababu imani ya walio wengi kwa kuangalia wanawake wengine waliowahi kuongoza Nchi mf Madamu Banda wakaharibu isingelikuwa rahisi kukuamini, ingebidi...
  4. Mwande na Mndewa

    Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika

    WAKILI BONIFACE MWABUKUSI;KAMA HAMTATUSIKILIZA,TUTAZUNGUMZA LUGHA MTAKAYOTUSIKILIZA,HATUTARUHUSU MZANZIBARI KUFANYA MAMBO YA HOVYO KWENYE MALI ZA TANGANYIKA. "Wazee wangu wa Mbeya nipo hapa kuwahakikishia Tanganyika hailiwi tena,tutafuatilia hatua kwa hatua kwenye mikataba ya Mali zote za...
  5. MamaSamia2025

    Natarajia Mbowe kupinga utekelezwaji miradi saba ya ujenzi wa barabara kwa njia ya EPC+ F huku bara

    Wakuu bado ninasubiri kauli ya Mbowe kupinga "Wazanzibari" kutekeleza miradi mikubwa ya ujenzi wa barabara huku bara. Kwa akili zake za kibaguzi nadhani hili pia lilitakiwa limuume na sio bandari tu. Siku nyingine mmiliki wa CHADEMA atafakari sana kabla ya kuropoka. Kauli yake ya kibaguzi...
  6. Roving Journalist

    Rais Samia: Mimi ni Mtanzania na Tanzania ni moja, haigawanyiki wala haiuziki

    Rais Samia akizungumza na Wakazi wa Jiji la Mwanza baada ya kuwasili kwa Ziara ya Kikazi leo Juni 12, 2023. Akitoa Salamu kwa Wananchi wa Jiji la Mwanza waliojitokeza kwenye uwanja wa Ndege kumpokea, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni Nchi...
  7. Street brain

    Changamoto za Muungano wetu

    Vitu vingine tinavisbabisha wenyewe wenzenu kule hawataki tuguse hata mali yao hata moja lakini wao wakija huku bara wanataka kila kitu tena wanapewa nafasi ya upendeleo kuliko mzawa. Mimi kilichoniuma zaidi mwaka juzi dogo langu alikuwa anafukuzia JKT sasa wapo kwenye mchujo. Mchujo wenyewe...
  8. Erythrocyte

    Mkataba wa kuendesha Bandari za Tanzania wa DP WORLD ya Dubai hautazihusu Bandari za Zanzibar

    Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika. Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida...
  9. Mnada wa Mhunze

    Maumivu ya Mtanganyika si maumivu ya Mzanzibari - tusidanganye!

    Ndugu zangu wahenga walishasema mapema ya kwamba MCHUMA JANGA HULIA NA NDUGUZE. Ki kawaida matatizo humuumiza zaidi yamhusuyo kuliko jirani na mfano hai ni suala la kufiwa aumiaye na msiba ni mfiwa na nduguze siyo majirani wasio na chembe ya ndugu Kwa muktadha huo hata haya ya mamikataba...
  10. William Mshumbusi

    Kama Feisal Salum angekuwa sio mtanzania, TFF isingeweka kiza kwenye suala lake. Akijichukulia ni Mzanzibari atapatiwa haki haraka

    Baada ya Tff kutoa hukumu yenye maneno matano tu "Feitoto "Ni mchezaji halali wa Yanga kimkataba" Kwenye press release na hukumu waliyomtumia bila kufafanua chochote kwenye mkataba Licha ya kuomba kila Mara nimegundua anaonewa kwasababu mbili kuu. Kwanza Ni mtanzania na Yuko chini ya Tff hivyo...
  11. J

    Ili Muungano uwe imara Naibu Spika awe Mzanzibari

    Ni ushauri tu. Haiwezekani bunge liitwe la Muungano halafu Spika, Naibu Spika na wenyeviti wa kamati zote za bunge ni Watanganyika. Wazanzibari wameachiwa nafasi moja tu ya mwenyekiti namba 3 wa bunge. Kuna ubaya gani Naibu Spika akitokea Unguja?
  12. M

    Tujadili: Mtu kujitambulisha kama Mzanzibari ni halali, lakini kujitambulisha kama Mtanganyika ni haramu!!

    Hii ni kero namba moja ya muungano ya muda wote!! Kwa bahati mbaya haijaorozeshwa wala hakuna mpango wa kuiorodhesha miongoni mwa kero za muungano. Juzi juzi tumefanya sherehe ya kumbukizi la miaka 60 ya uhuru wa "Tanzania", au wakiona aibu wanasema kumbukizi la uhuru wa "Tanzania bara"...
  13. Z

    Naombeni mnisaidie niwe Mzanzibari. Nina Degree, maisha yamekuwa magumu kwangu

    Habarini ndugu zangu, ni matumaini yangu mpo fresh. Mimi ni mhitimu wa chuo ngazi ya degree katika fani ya uhasibu. kiukweli nimejiajiri lakini hali si mchezo huku mtaani, ofisini nashinda masaa 14, kila siku lazima niende ofisini yani hata nlikopanga geto kuna wengine hawanijui vizuri...
  14. peno hasegawa

    Kitambulisho cha Mzanzibari Kinapatikana vipi?

    Mimi ni mtanganyika Ninaishi ugaibuni, na ninahitaji kujua namna ya kupata kitambulisho cha Mzanzibari Mara nitakaporejea Tanzania. Je, mzanzibari nao wana vitambulisho vya NIDA? Je, Samia Suluhu Hassan ana kitambulisho cha NIDA na cha Mzanzibari? Je, ninaweza kuomba kazi zanzibar ilihali mimi...
  15. M

    Mtake msitake Zanzibar ni nchi na wataoajiriwa ni Wazanzibari. Huwezi kumwacha mzawa Mzanzibari ukamweka mtu wa bara

    Mnataka mstake, Zanzibar ni nchi na inshaallah kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu siku itafika itakuwa na Waziri wake wa Kigeni,Waziri wa Mambo ya Ndani na Waziri wa Ulinzi. Mnaosema wabara wakafanye kazi Zanzibar hiyo ni ndoto ya mchana. Katika makubaliano ya Muungano kati ya Hayati Mwalimu na Hayati...
  16. jitombashisho

    Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!" Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani. Samia umekosea sana! ==== Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana...
  17. S

    Si haba Mzanzibari mkaazi

    Nimefurahi sana ile tunu ya kuwa kiongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar anatokea upande wa pili wa Muungano huu, yaani anatokea kwenye visiwa vinavyonuka marashi ya karafuu. watesi wengi walikuwa wakitubeza kuwa Zanzibar tusahau kupata nafasi ya Mzanzbaari mkaazi kuongoza...
  18. J

    Hizi wizara za muungano (Fedha, Ulinzi, Ndani, Nje) ni ipi inaongozwa na Mzanzibari?

    Nauliza tu wataalamu wa mambo ya serikali ya muungano maana naona ndugu zetu Wazenji ni kama wameishia kwenye Unaibu Waziri. Nawatakia Sabato yenye baraka. Mungu ni mwema wakati wote!
  19. I

    Samia anaihujumu Tanganyika kwa kuwa yeye ni Mzanzibari?

    akili yangu inanituma kwamba Samia ameamua kuwageuza Watanganyika milioni 55 kuwa chambo cha chanjo ili mapesa anayopata kutoka kwa mabeberu akajenge makunduchi? Watanganyika wenye akili tusimame na Askofu Gwajima. hivi nyie Watanganyika nani kawaroga? Tanzania = Tanganyika+Zanzibar. Kwanini...
  20. robinson crusoe

    Zanzbar pia kuna tozo la miamala?

    Naona matatizo ya Muungano na hasa tunapokuwa na Rais kama huyu anayetokea Z'bar. alipoingia alianza ku-balance mambo; Meli nyingine itapelekwa Z'bar, kila kitu akisema pesa nyingine ipelekwe Z'bar. Sasa hili la tozo na malengo yake tunataka kujua kama hata Z'bar kuna makato ya miamala. Kama...
Back
Top Bottom