hisa

  1. dr namugari

    Jinsi nilivyopoteza milioni mbili kwenye soko la hisa

    Mwaka 2014 nilishawishika kwa mara kwanza kuekeza kwenye biashara za hisa, Basi nikapata abcd za namna gani na faida za za kuekeza kwenye masoko ya hisa na nikafanya maamuzi ya kununua hisa katika kampuni moja ya uchimbaji na utafutaji wa mafuta inayoitwa Swala energy. Basi nikapewa list ya...
  2. Liverpool VPN

    Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

    INTRODUCTION. Mr. Liverpool kwa maisha ni mfanyakazi, mfanyabiashara na mmiliki wa vipande kwenye mutual fund.. Nasoma(ga) sanaa watu humu wanasifia FOREX, Mutual Funds (hasa UTT), Government bonds and bills na fixed deposits. BODY:- Soko la pesa Tanzania sio kubwa kiasi kwa maana kuna hisa...
  3. K

    SGR, JNHPP, daraja la Busisi na ndege 13 ni Matumizi mabaya ya madaraka ya Hayati Magufuli. Rais Samia achana navyo

    Mama Samia hongera kwa kazi nzuri. Kwa hayo niliyotaja hapo juu yalifanywa na Magufuli bila kutushirikisha private sector. Nakuomba ubinafsishe Kwa private sector ili Selikari ikusanye mapato na kulipana posho nzuri huku tukihakikisha wananchi wa vijijini wenye nyumba za ovyo wanalipia pango la...
  4. Teko Modise

    Man Utd yafikia makubaliano na Sir Jim Ratcliffe, ambapo atamiliki 25% ya hisa za Klabu hiyo

    Hatimae kile kitendawili cha umiliki wa Man Utd kimeteguliwa leo kwa ambapo klabu hiyo imefikia makubaliano na Sir Jim Ratcliffe ambaye ni Mwenyekiti wa Kampuni ya INEOS kumiliki asilimia 25 Klabu hiyo. Ikimbukwe wamiliki wa Man Utd bado watabakia familia ya Glazzer kwa asilimia 75. Sir Jim...
  5. Influenza

    Mwisho wa Enzi: Kampuni ya Toshiba yaachana na soko la hisa la Tokyo baada ya miaka 74

    Wale Wazee wa zamani watakubaliana na mimi kuwa kulikuwa na wakati ambapo moja ya runinga yako, kompyuta, redio au bidhaa nyingine muhimu za kielektroniki zingetengenezwa na Toshiba. Hata hivyo, Kampuni hiyo kubwa ya Kijapani ya vifaa vya kieleteoniki ya KijapanoToshiba, iliyotawala kwa ubora...
  6. Cobrahypnosis

    Taratibu za kufuata ili kupunguza thamani za hisa za kampuni

    habarini wanajukwaa natuamini wote ni wazima wa afya na mlio na changamoto mungu awe nanyi katika kila hatua AMEN. Naomba muongozo wa taratibu gani za kufuata ili kuweza kupunguza thamani ya hisa za kampuni. mfano katika memats ya kampuni tuliandika thamani ya hisa moja ni 2 million lakini...
  7. A

    IPO haja Kwa taasisi za watanzania kununua hisa kwenye haya makampuni

    Ili wa Tz waweze kumiliki rasilimali zao IPO haja ya hizi taasisi kuwa wanauziwa hisa , Bakwata, TEC, CCT, Bodi ya madaktari, ma engineer, cwt,TLS,nbaa, PSPT nk , ili tuepukane na Wana siasa uchwara. Makampuni iwe TPDC, TPA, nk nk
  8. Roving Journalist

    Miradi ya uchimbaji mkubwa wa madini ambayo Serikali ina hisa, imechangia mapato ya Serikali ya jumla ya Shilingi Trilioni 1.53

    MIGODI MIKUBWA YENYE UBIA NA SERIKALI YACHANGIA SHILINGI TRILIONI 1.53 KUFIKIA JUNI, 2023 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Nishati, Madini ataka STAMICO iongezwe nguvu Katibu Mkuu Mahimbali aeleza Mipango Kabambe kuendeleza Sekta ya Madini, aeleza Miradi Mingine Mbioni kupewa Leseni Dodoma...
  9. kmbwembwe

    Kivipi Serikali imebadilisha madeni yake TANESCO kuwa hisa?

    Inaelekea wanaoongoza TANESCO kwa sasa mama anawabeba kwa mbeleko kama watoto wake wa kuwazaa. Shirika la TANESCO ni mali ya Serikali kwa asilimia 100. Sasa anapokuja huyu Maharage na waziri wake Makamba kutuambia eti madeni ya Serikali yanageuzwa hisa ndio nini maana yake? Si bora wangesema...
  10. Zaitun kessy

    SoC03 Tambua fursa ya biashara kutoka kwenye soko la hisa na Faida ya kubadilisha Sheria ya Foreign Exchange Act ya 1992

    Hisa ni sehemu ya umiliki katika kampuni. Kwa kumiliki hisa, mtu anakuwa mwekezaji katika kampuni na anapata haki za kifedha na kisera katika kampuni hiyo. Kuwekeza katika soko la hisa kunatoa fursa kwa Watanzania kuwa sehemu ya umiliki wa makampuni na kupata faida kutokana na mafanikio yao...
  11. R-K-O

    Hawa ndio matajiri wakubwa 10 bora katika soko la hisa Tanzania,

    Nimekuwekea list ya matajiri wakubwa 10 bora katika soko la hisa Tanzania. Matajiri wenye hisa nyingi kwenye makampuni makubwa Tanzania. Watanzania wenye asili ya hapa kwetu wapo wanne tu Hans Macha Ernest Massawe Arnold B.S Kilewo Harold Temu...
  12. FRANCIS DA DON

    Napendekeza nchi iongozwe kwa mfumo wa kampuni, kila mwananchi anakuwa mwanahisa, na akitaka anaweza kuuza hisa zake kwa yeyote

    Rasimali na mali zote za nchi. (Kampuni) zifanyiwe tathmini na zipatiwa thamani ya fedha, jumla ya ‘assets’ za nchi zigawanywe kwa idadi ya waTanganyika wote, na kila mtu apewe hisa zenye thamani sawia, hivyo kila mwananchi ni mwanahisa wa kampuni ya Tanganyika. Kiongozi mkuu wa Kampuni ya...
  13. S

    Istilahi (terminologies ) zinazotumika kwenye hisa

    Habari wana JF, Nimeanza kujifunza kuhusu soko la hisa na wakati nasoma ripoti ya DSE kuna maneno nimeyaona ambayo sijaelewa maana yake hivyo ningependa kupata ufafanuzi kwa anayeyafahamu. 1. Bid 2. Offer 3. Deal 4. Outstanding bids 5.Outstanding offers 6. Turnover 7. Opening price 8...
  14. Ricky Blair

    Hisa za TCC and TBL😡

    Kwa wanunuaji na wauzaji wa hisa; nielewesheni hisa za TCC and TBL zimelalaje for almost 2 years now when watu pombe na sigara Km kawa tu? Kuna nn hapo?
  15. I

    Watanzania matajiri wakubwa katika soko la hisa la Dar es Salaam

    Wajue watanzania matajiri wanaomiliki hisa katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) na wewe jitahidi uwemo. https://billionaires.africa/2023/06/29/the-10-richest-tanzanians-on-the-dar-es-salaam-stock-exchange/
  16. hery_edson

    List ya Matajiri 10 katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) mpaka Juni 26, 2023

    Ifuatayo ni list ya matajiri 10 katika soko la hisa la dar es salaam (DSE) mpka kufikia siku ya tarehe 26-06-2023, kama ilivyoandikwa na THE BUSINESS WIZ siku ya tarehe 30-06-2023. The 10 richest Tanzanians on the Dar es Salaam Stock Exchange Patrick Schegg a former Hedge fund manager, owns the...
  17. Gotze Giyani

    Kununua hisa za NMB au CRDB

    Wadau nimeona serikali ikipokea gawio la hisa za Nmb bank na CRDB bank hivi karibu kama billion 45 hivi wadau kwa anayejua haya maswala ya hisa za hizi bank mbili ningeomba anifafanulie kidogo na vijana tufaidi uwekezaji wa taifa letu japo najua muitikio utakuwa mdogo karibuni wadau kwa michango...
  18. B

    Jaji Mihayo azungumza kuhusu Twiga Cement kununua hisa za Tanga Cement, akemea uvunjaji wa sheria

    HATIMAYE Jaji Mstaafu Thomas Mihayo ameamua kuvunja ukimya kwa kueleza kuwa wanasheria waliipotosha Serikali na Mawaziri kuhusu kuendelea na mchakato wa kampuni ya Saruji ya Twiga kununua hisa za Tanga Cement wakati mahakama ilizuia kuwapo kwa muunganiko wa kampuni hizo. Pia amesema tayari...
  19. MZALENDO TZ

    Benki ya NBC Yakabidhi Gawio la Tsh Bil 20 Kwa wana hisa wake, yajivunia mafanikio.

    Msajili wa Hazina Bw Nehemiah Mchechu (wa tatu kushoto) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Tsh 6 Bilion kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Bw Theobald Sabi (Kushoto) ikiwa gawio la mwaka 2022 kwa Serikali ambayo inamiliki asilimia 30 ya hisa za benki hiyo. Wanaoshuhudia ni...
  20. amshapopo

    Kama unataka unataka hela ndefu weka mzigo kwenye hisa za Tanga cement PLC

    Wakuu hisa za Tanga cement zimerise for almost 50% ndani ya wiki mbili tu. Kama mjuavyo hii mostly imechangiwa kwa kampuni hii kuuzwa kwa Twiga cement company PLC hivyo future prospectus itakuwa njema zaidi. Kama una mpunga tupia Tanga cement PLC hutojuta. Asante
Back
Top Bottom