Jinsi nilivyopoteza milioni mbili kwenye soko la hisa

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,762
16,522
Mwaka 2014 nilishawishika kwa mara kwanza kuekeza kwenye biashara za hisa, Basi nikapata abcd za namna gani na faida za za kuekeza kwenye masoko ya hisa na nikafanya maamuzi ya kununua hisa katika kampuni moja ya uchimbaji na utafutaji wa mafuta inayoitwa Swala energy.

Basi nikapewa list ya kampuni zilizo listed katika soko la hisa Dar es Salam stock exchange ndipo nikachagua kampuni hiyo kwa vile ndio ilikuwa inafanya IPO yaani initial public offer kwa Mara ya kwanza, na mimi nikashawishika na nikaamua kununua hisa za milioni mbili kila hisa Moja iliuzwa 500 hivyo nikafanikiwa kununua hisa za 2m sawa na hisa elfu 4000.

Basi baada tu ya kununua hisa ktk kampuni hyo baada ya week mbili hisa zikapanda value kutoka 500 Hadi 1000 kwa kila Moja nikataka kuuza nikaambiwa na jamaa angu kuwa nisubiri kwa vile itaendelea kupanda Kweli baada ya Kama miezi miwili hivi hisa ktk kampuni hyo ikashuti Hadi kufika 2100 nikaona wacha niuze.

Jamaa yangu ambae ni mzoefu akaniambia nisiwe na haraka zitaendekea kupanda zaidi na tutapiga pesa ndefu za maana.

Wakati nikitamani kuuza hisa zangu nikaanza kuona zikistak ikibakia palepale kwa muda wa kama mwezi nzima bila kupanda wala kushuka.

Ajabu ghafla bin vuu nikaanza kuona inaporomoka Tena Bei zake nikaanza kutafuta dalali aniuzie, mimi kipindi hicho niko Tabora ikawa kama simuamini dalali yule kwani yeye alitaka nimtumie dcm zangu zote nikaona nikipata chance nikimbie Dar faster nikaziuze.

Kadri siku zinavyozidi kwenda na mimi kubanwa na kazi nilishutukia hisa zimeporomoka kwa kasi ya kutisha na kumpata mteja ikawa ngumu pia 😂 aise hyo ni biashara kichaa sana yaani una hisa zako ila kupata mteja wa kuzinunua hupati.

Kuna wakati nimecheki mwenendo wa hiyo kampuni nikakuta hisa Moja Ni 234, hisa zimeporomoka Sana nikakata tamaa kabisa nimetulia na Sina pa kupeleka kesi hiyo.

Kama kuna wazoefu nipeni mbinu nifanye nini ili niweze kurescure hicho hisa zangu hata Kama zimeporomoka Bei, kampuni haijawi kunipa gawio Wala kuitwa mkutano mkuu wa mwaka kwa kifupi ni matapeli wa enz za JK ndio waliniingiza mjini for the first time

Kweli sina hamu kbsa kwenye masoko ya hisa na mamlaka zake za mitaji na dhamana hi biashara imekaa kitapeli sana.

Na mbaya zaidi Magu alivyoingia madarakani masoko ya hisa likawa Kama kaburi wazi.

Niwaonye vijana kuweni makini na hayo Mambo ya hisa Kuna utapeli Sana unaendelea sana.
 
Hiyo ya swala sio la kitapeli ni vile wakati huo elimu ya hisa ilikuwa ni ndogo , kampuni ya swala iliuza hisa ili iende ikafanye utafiti kwenye maswala ya gas au mafuta , Sasa kampuni inayoenda fanya utafiti na sio biashara inaanzaje kutoa gawio. Hapo la msingi fuatilia habari za swala uone maendele yao yapoje , ukiona wanakaribia kupata gas huko , wewe anza kununua zaidi ili wakitangaza tu wamepata hisa zitapanda tena ule mpunga mrefu sasa.
 
Aaahahaaa wew

Ahahaha wee cdhubutu kufanya hicho Bora hati fungani
 
Hiyo ya swala sio la kitapeli ni vile wakati huo elimu ya hisa ilikuwa ni ndogo , kampuni ya swala iliuza hisa ili iende ikafanye utafiti kwenye maswala ya gas au mafuta , Sasa kampuni inayoenda fanya utafiti na sio biashara inaanzaje kutoa gawio. Hapo la msingi fuatilia habari za swala uone maendele yao yapoje , ukiona wanakaribia kupata gas huko , wewe anza kununua zaidi ili wakitangaza tu wamepata hisa zitapanda tena ule mpunga mrefu sasa.
Sasa ataonaje wamekaribia kupata gesi? :)
 
Mwaka 2014 nilishawishika kwa mara kwanza kuekeza kwenye biashara za hisa, Basi nikapata abcd za namna gani na faida za za kuekeza kwenye masoko ya hisa na nikafanya maamuzi ya kununua hisa katika kampuni moja ya uchimbaji na utafutaji wa mafuta inayoitwa Swala energy.

Basi nikapewa list ya kampuni zilizo listed katika soko la hisa Dar es Salam stock exchange ndipo nikachagua kampuni hiyo kwa vile ndio ilikuwa inafanya IPO yaani initial public offer kwa Mara ya kwanza, na mimi nikashawishika na nikaamua kununua hisa za milioni mbili kila hisa Moja iliuzwa 500 hivyo nikafanikiwa kununua hisa za 2m sawa na hisa elfu 4000.

Basi baada tu ya kununua hisa ktk kampuni hyo baada ya week mbili hisa zikapanda value kutoka 500 Hadi 1000 kwa kila Moja nikataka kuuza nikaambiwa na jamaa angu kuwa nisubiri kwa vile itaendelea kupanda Kweli baada ya Kama miezi miwili hivi hisa ktk kampuni hyo ikashuti Hadi kufika 2100 nikaona wacha niuze.

Jamaa yangu ambae Ni mzoefu akaniambia nisiwe na haraka zitaendekea kupanda zaidi na tutapiga pesa ndefu za maana.

Wakati nikitamani kuuza hisa zangu nikaanza kuona zikistak ikibakia palepale kwa muda wa kama mwezi nzima bila kupanda wala kushuka.

Ajabu ghafla bin vuu nikaanza kuona inaporomoka Tena Bei zake nikaanza kutafuta dalali aniuzie, mimi kipindi hicho niko Tabora ikawa Kama simuamini dalali Yule kwani yeye alitaka nimtumie dcm zangu zote nikaona nikipata chance nikimbie Dar faster nikaziuze.

Kadri siku zinavyozidi kwenda na mimi kubanwa na kazi nilishutukia hisa zimeporomoka kwa kasi ya kutisha na kumpata mteja ikawa ngumu pia 😂 aise hyo Ni biashara kichaa Sana yaani una hisa zako ila kupata mteja wa kuzinunua hupati.

Kuna wakati nimecheki mwenendo wa hiyo kampuni nikakuta hisa Moja Ni 234, hisa zimeporomoka Sana nikakata tamaa kabisa nimetulia na Sina pa kupeleka kesi hiyo.

Kama Kuna wazoefu nipeni mbinu nifanye Nini ili niweze kurescure hicho hisa zangu hata Kama zimeporomoka Bei, kampuni haijawi kunipa gawio Wala kuitwa mkutano mkuu wa mwaka kwa kifupi Ni matapeli wa enz za JK ndio waliniingiza mjini for the first time

Kweli Sina hamu kbsa kwenye masoko ya hisa na mamlaka zake za mitaji na dhamana hi biashara imekaa kitapeli Sana

Na mbaya Zaid Magu alivyoingia madarakani masoko ya hisa likawa Kama kaburi wazi.

Niwaonye vijana kuweni makini na hayo Mambo ya hisa Kuna utapeli Sana unaendelea sana.
Uchumi wa kibepari ni kama wa kikamari_kamari. Eti Leo asubuhi unaamka bilionea namba mmoja duniani na jioni unaenda kulala wewe sio bilionea tena baada ya hisa za kampuni Yako kuporomoka kiasi cha kutisha
 
Hapo hakuna cha utapeli, naona kuna mambo makuu mawili...

1.Tamaa ya utajiri wa haraka
-Kwa mara ya kwanza tu kujihusisha na uwekezaji wa hisa ,ukaamua kununua za Millioni 2,ambazo kwa kipato chako inaonekana hiyo hela ni kubwa.

2.Kukosa elimu
Kwa maelezo yako ,inaonesha wazi haukuwa na elimu ya kutosha na mpaka bado hauna elimu ya kutosha kuhusiana na hisa.
Kilichokuchanganya ni kuskia neno IPO,,,ambapo
  • ni kawaida katika IPO bei za hisa kuwa juu....
  • Ulinunuaje hisa bila kupata elimu ya Sekta ya Nishati hasa katika makampuni ya utafiti wa mafuta.
  • Ulinunuaje bila kufuatilia financial statements za kampuni husika.?
  • Kampuni ya utafiti wa mafuta huwa inaingiza hasara always, unapewaje gawio? Hiyo ni dunia nzima.
Ukiona elimu gharama, jaribu ujinga....
 
Kabla ya kuwekeza kwenye Soko la hisa,hakikisha unatumia si chini ya miezi minne kupata elimu ya
  • Hisa : faida,hasara na misamiati yake.
  • Sekta ambazo makampuni yapo :Mawasiliano,Nishati,Benki na Fedha,Huduma, Mawasiliano.
  • Kuna miaka Sekta flani inakua juu kuliko nyingine mf.Now hisa za makampuni ya Sekta ya technology ni zipo juu,ila kipindi cha COVID sekta ya afya ilikuwa juu.
  • Jua historia ya kampuni husika,,kuna kampuni zipo vizuri kutoa dividends,nyingine zinanunua hisa za wanahisa wake....
 
Y
Uchumi wa kibepari ni kama wa kikamari_kamari. Eti Leo asubuhi unaamka bilionea namba mmoja duniani na jioni unaenda kulala wewe sio bilionea tena baada ya hisa za kampuni Yako kuporomoka kiasi cha kutisha
[/QUOT
Yaani Ni kama utapeli huu haiwezekani kbsa how come ziporomoke Kama siyo wahuni wanaporomosha ili kusudi wakupige pesa
 
Walai mwaka huo ungenunua BITCOIN za ml 2 kipindi ilo ilikuwa kati ya usd 320 ungepata btc ata 5 ivi kwa ela yako ambapo leo ungekuwa millionare 60k mara 5 mean usd 3ook
Hi ndio biashara siwez kudhubutu iko kitapeli Sana nayo Bora sijafanya
 
Back
Top Bottom