buguruni

Buguruni is an administrative ward in the Ilala district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 67,028.

View More On Wikipedia.org
  1. aise

    Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

    Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500. Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage! Nataka nihame hapa...
  2. Bata Boy Official

    Chumba cha 20,000/= Buguruni

    Niaje wakuu! Naomba kuelekezwa, au kuunganishwa na mtu anayeweza kunisaidia kupata chumba cha elfu20 (20,000/=) au chini ya hiyo. NB: Hata kama hakina umeme wala rangi fresh tu!
  3. Azniv Protingas

    Wapaka mbao rangi kuhadaa wateja

    Natembea kuelekea Buguruni eneo la Binti Madenge. Hapa nakutana na wafanyabiashara wanaouza mbao na wengine wakifanya kazi ya kuingiza mbao ndani ya mapipa. Navutiwa na kazi ile, nikitaka kujua ni kwa nini wanatumbukiza mbao ndani ya yale mapipa marefu yenye maji ya rangi ya kijani. Nikasogea...
  4. Candela

    Ujenzi gani unaendelea Buguruni?

    Wadau tujuazane kuhusu ujenzi unaindelea pale buguruni, hizi nchi zetu za hovyo sana kazi inaendelea na hamna taarifa yoyote kwa wananchi. Kila siku napita pale nione hata bango linaloelezea nini kinaendelea lakini wapi.
  5. Jidu La Mabambasi

    TANROADS, Buguruni junction inatutesa

    Kujenga Mfugale Fyover sasa imedhihirika kuwa haijatatua msongamano mkubwa wa magari. Tatizo ni junction ya Buguruni/Mandela/Vingunguti roads. Naamini Wizara ya Ujenzi kupitia TANROADS in wahandisi wa kutosha kubuni(design) Interchange ya kuondoa kero hii amnayo sasa imekithiri. Kwa sasa hivi...
  6. B

    Dar: Mnaotumia Soko la Buguruni kipindi hiki cha mvua mnaionaje hali?

    Mara kwa mara nimekuwa mtumiaji wa Soko la Buguruni lililopo Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam, lakini kiukweli, hali sio nzuri hasa kipindi cha mvua. Kwanza wafanyabiashara wanapanga bidhaa zao mpaka Kituo cha Daladala hali inayowafanya wapita njia na abiria kupata wakati mgumu. Pia...
  7. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Mjue Judith Mhina, mwanamama aliyetaka kuinunua Vingunguti na Buguruni Mnyamani kabla hajazuiwa na Hayati Magufuli

    Judith Mhina ni mkurugenzi wa makampuni ya PMM 2001 ESTATES LTD ambayo yanamiliki utitiri wa majumba na majengo Msasani, Mikocheni, Oysterbay na Masaki. Pia anamiliki eneo kubwa sana la bandari kavu Vingunguti Nyerere Road. Mama huyu alitaka kununua Vingunguti yote na Buguruni Mnyamani ili...
  8. Sidee01

    Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

    Habarini ndugu wana JamiiForums, Hivi kiwanda cha Bakharesa pale Buguruni ni uhakika kupata kazi ya kibarua ukiwa na barua ya utambulisho wa makazi? Na hivi wanalipa kwa siku au wiki?
  9. Crocodiletooth

    Kero: Abiria wa Vingunguti, Buguruni, hawatendewi haki na mamlaka za usafirishaji umma

    HAKUNA USAFIRI UNAOWAFIKISHA WAKAZI WA ENEO HILI MOJA KWA MOJA MPAKA FERRY. Abiria wa eneo hili wameomba kilio chao kusikilizwa na mkuu wa mkoa, kwani wamekuwa wakipata tabu sana, hivyo kulazimika kupanda mabasi mawili ili kufika ferry, ambayo kwao imekuwa ni mzigo mkubwa kutokana na maisha kwa...
  10. Job Richard

    Biashara ya ukahaba ni kaa la moto Dar

    Licha ya juhudi zilizowahi kufanywa na viongozi wa Jiji la Dar es Salaam kudhibiti biashara ya ukahaba na uzururaji jijini humo, shughuli hiyo inaendelea kama kawaida, Mwananchi limebaini. Baadhi ya viongozi waliowahi kuongoza Dar es Salaam, akiwemo Paul Makonda walianzisha kampeni za kupambana...
  11. toplemon

    Haya mafuta ya kula yanayouzwa Buguruni 4000 lita yanatoka wapi?

    Jana niliona Buguruni mafuta ya kupikia yapo kama ya alizeti kabisa yameenea kila mahali sokoni wanauza 4200 kwa lita jee ni mafuta kweli? Nilitaka kununua ila niliingiwa na wasiwasi sana.
  12. kimsboy

    Foleni ya Buguruni ni janga la kimkoa, serikali mko wapi?

    Hili suala la Buguruni foleni naona serikali imeamua kufumbia macho kabisa. Hapa nazungumza nimekaa kwenye gari karibia masaa mawili kiasi cha kutamani kushuka niiache gari yangu nichukue bodaboda lakini sina chaguo. Haya mateso hadi lini? Gharama za mafuta kipengele, traffic wanavyotukata...
  13. nakwede97

    Biashara ya matunda Buguruni ama Mabibo

    Wapendwa habari zenu nina mtaji wangu kidogo nataka fanya biashara ya kuchukua parachichi na ndizi Moshi nije niuze kati ya hayo masoko hapa sina uzoefu wa hayo masoko ningependa nipate kasehemu kakuweka mzigo na kuuza reja na jumla Msaada mwenye kufahamu
  14. T

    Dawa ya kuku mpya tatu kwa moja inapatikana wapi kwa Mbagala, Kariakoo na Buguruni

    Wadau Habari zenu. Kuna dawa kuku mpya nilisikia muda kidogo ikitangazwa kwenye redio jina sikumbuki vizuri maana nilisikia kwa mbali tatu kwa moja yaani inakuwa na newcaster na mchanganyiko wa dawa zingine mbili na kufanya kuwa mchanganyiko wa dawa tatu kwa pamoja sasa swali langu kwa kisiwa...
  15. Francis12

    Mahakama ya Mwanzo ya Buguruni imevunja ndoa ya waliotengana kwa makubaliano ya kila mmoja aende kutafuta watoto

    Mahakama ya Mwanzo Buguruni imevunja ndoa ya Wanandoa Raymond Kulaya (44) na Magreth Silaeli (37) waliotengana kwa miaka 10 baada ya kukubaliana kila Mtu akatafute Watoto ‘anapopajua’ baada ya kuishi miaka mitano bila kupata Mtoto, kwa sasa Magreth amepata Watoto wanne na Mwanaume mwingine...
  16. J

    KASHFA: Polisi wa Buguruni Dar, wadaiwa kudhulumu kilo 800 za nyama na kugawana

    Wafanyabiashara wa nyama za mafungu huko Vingunguti wamelalamikia kitendo cha Bodi ya nyama kukamata nyama zao na kuzipeleka kituo cha polisi Buguruni ambako badala ya kuiteketeza waligawana na kubakiza makongoro. Akiongea katika eneo la tukio Meya wa Jiji la Dar es Salaam mh. Kumbilamoto...
  17. Magari ya Biashara

    House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  18. Sam Gidori

    Ajali ya lori na treni ya abiria Buguruni

    Ajali ya Treni imetokea Vingunguti ikihusisha lori lililokuwa limebeba sukari lenye namba za usajili T 278 DQS na treni ya abiria. - Treni haikuwa na abiria. Chanzo: Azam TV
Back
Top Bottom