Young Africans na Azam FC wamekuwa na michezo bora msimu huu, najua kesho kutakuwa na upinzani mkubwa na sisi tumejiandaa na hilo
Mchezo huo wa Fainali utapigwa katika uwanjwa wa New Amaan Complex Zanzibar saa mbili na dakika 15 usiku
Nani kusepa na kombe hilo?
Nina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga
nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi
naombe ushauri wenu.
Aziz Ki amevunja rekodi ya ufungaji bora misimu mitatu iliyopita afikisha magoli 21 na kuibuka top score wa msimu.
---
Kiungo Stephan Aziz Ki amemaliza kinara wa ufungaji kwenye ligi kuu soka Tanzania Bara baada ya kumaliza msimu akiwa na mabao 21 na kumuacha mpinzani wake wa karibu kiungo...
Taja kikosi chako bora cha msimu 2023/2024 msimu unaomalizika leo
kikosi changu
1.Diarra
2.Yao
3.Lawi
4.Job
5.Bacca
6.Aucho
7.Pacome
8.Feisal
9.Aziz Ki
10.Waziri JR
11.Mudathiri
Ligi kuu ya NBCPL leo rasmi inatamatika kwa kucheza michezo nane na hadi sasa Bingwa ni Yanga lakini tutashuhudia vita vikali vya kumaliza nafasi ya pili ambapo hapa ni Simba sc na Azam fc ambao ndiyo wanao wanao wania nafasi hiyo
lakini vita nyingine ni ya mfungaji bora kati ya Aziz Ki wa...
Tupo mwishoni mwa ligi kuu ya NBCPL msimu huu 2023/2024 ambapo mei 28 2024 ndiyo tamati yake
hadi sasa vita vikubwa ni Aziz Ki na Feisal katika kuibuka mfugaji bora, vita nyingine ni ya AZam fc na Simba sc kumaliza nafasi ya pili.
Sasa tukitazama katika upande wa mfungaji bora ambao wanalingana...
Rais wa shirikisho la soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe amekiri kuwa kama angekuwa shabiki angeona goli la Yanga lililokataliwa mwamuzi katika mchezo wa robo fainali dhidi ya Mamelod Sundowns Afrika Kusini kuwa lilikuwa goli halali.
Rais Motsepe ameyasema hayo leo alipowasili visiwani Zanzibar...
Wataalamu hivi Kuna faida gani katika mwili kuingia kwenye barafu mengi
Mara nyingi tumekuwa tukiwaona hata wachezaji wakia kwenye pipa lililojaa mabarafu mengi sana
Klabu ya Yanga sc kesho ya mei 25 2024 watakabidhiwa kombe lao la Ligi kuu ya NBCPL ikiwa ni mara ya 3 mfululizo na timu pekee ambayo imelibeba kombe hilo tangu bank ya NBC kuwa wa dhamini wa Ligi kuu ya Tanzania.
Kombe hilo linatalajiwa kushuka na helikopta kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kwamba fainali ya #CRDBBankFederationCup sasa itapigwa katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar badala ya Babati mkoani Manyara kama ilivyotangazwa awali.
Mechi hiyo inayozikutanisha Azam FC dhidi ya Yanga SC, itachezwa Juni 2, 2024 saa...
Kiuongo Mshambuliaji wa Yanga Aziz Ki amewambia viongozi wake kama wanamuhitaji kuendelea kusalia klabu hapo basi wanapaswa kumpa mkataba wenye thamani wa Dola laki 5.
Ofa ya Yanga kwa Aziz Ki ni dola laki tatu na nusu pekee. Vipi sasa wadau na mashabiki wa Yanga, Aziz Ki abaki au asepe tu?
Wanaume ambao mnawatoto embu tupeni uzoefu wenu kwa mara kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua,hiyo siku ilikuwaje na kipi utoweza kusahau kabisa
"Kesho tunasafiri majira ya saa nne asubuhi kuelekea pale mkoani Dodoma kucheza dhidi ya Dodoma Jiji. Mchezo huo utafanyika tarehe 22 Mei 2024. Mechi hii ya Dodoma tumeifanya mechi ya kushukuru benchi la ufundi. Hivyo itakuwa ni πππππππ πππ
Kwenye πππππππ πππ itakapofika πππ€π’π€π π²π ππ, wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.