Wakuu Leo nimelia sana Baada ya kufuatilia record za timu zenye makombe mengi ya Ligue na kuja kugundu kuwa Simba Wana makombe = 22........lkn wababe Yanga Wana makombe = 30 ......na ligi ilianza mwaka 1964
Nmeshtuka sana Hadi ghafla nmeanza kulia [emoji24][emoji24][emoji24].......Je makolo...
Rais wa klabu ya @yangasc Injinia @caamil_88 ametoa elimu kwa uongozi wa klabu ya @tpmazembeofficiel ambao wamefika makao makuu ya klabu hiyo hapo jana wakitaka kufahamu ni namna gani klabu ya Yanga imeweza kubadirisha mfumo wake wa kiundeshaji na kuweza kutawala soka la ndani na nje kwa muda...
“Klabu kubwa kama TP Mazembe imesafiri kutoka DR Congo kuja hapa Jangwani kujifunza kwa kichwa chetu, Rais wetu Eng. Hersi Said halafu kuna watu wako nyumba ya 16 tu jirani hapo, wanapiga kelele kuwa hawana cha kujifunza kwa Yanga.
“Niwaambie tu, tutabeba Makombe hadi kila Mwanachama atakuwa...
“Tumepokea ugeni mzito kutoka moja ya Klabu kubwa Barani Afrika, TP Mazembe ya DR Congo ambao wamevutiwa na namna Klabu yetu ya Yanga inavyoendeshwa hivyo wamekuja hapa Tanzania kujifunza mambo mbalimbali kwenye Mfumo wetu wa Mabadiliko ya Uendeshaji" Simon Patrick, Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga...
Mwamuzi msaidizi namba mbili wa mchezo kati ta Yanga dhidi ya Kagera Sugar, Shaban Mussa kutoka Geita ameondolewa kwenye ratiba ya waamuzi kwa mizunguko mitano (5) kwa kosa la kushindwa kutafsiri vema sheria za mpira wa miguu.
Mwamuzi huyo alikataa bao halali lililofungwa na mchezaji, Joseph...
TETESI: Nyanda wa Klabu ya Simba, Ayoub Lakred ameamua kuondoka klabuni hapo mwisho wa msimu huu baada ya mkataba wake wa mwaka mmoja klabuni hapo kufikia ukomo.
Kwa mujibu wa ripoti Ayoub (28) raia wa Morocco amepata ofa kutoka moja ya vilabu Nchini kwao hivyo hayupo tayari kuendelea kusalia...
Ukweli Yanga wanakera, timu haifungwi, timu hausuruhu, timu tangu ligi imeanza iko nafas ya kwanza, mvua zikaja bado iko nafas ya kwanza, hidaya kaja kapita Yanga bado iko nafas ya kwanza
Ukwel Yanga wanaifanya ligi ionekane haina ushindani, TFF liangalieni hili Yanga wana haribu Ligi, ivi...
Za chini chini naskia Kila mchezaji huko ukoloni (Simba) anataka kuforce kusajiliwa na Yanga .....alianza Chama Baada ya kuzinguliwa kamaind na kubeba begi Hadi kwao
Kibu pia kwa lolote lile Simba wapo tyr kumfanyia ...lkn jamaa anataka kwenda Yanga
Onana ....ayubu wote hawa wanataka kuja...
"Nichukue fursa hii kuwapongeza sana viongozi wa Simba, wako very very smart, wanaakili wana brain nzuri ya kujua mpira, yule kocha (Benchikha) alishafika mwisho lakini sisi kama Yanga tulifurahishwa na maamuzi ya yule kocha kuletwa kwa sababu tulikuwa na kisasi naye, kwahiyo hawa mabwana...
Uchambuzi wangu
Kombe la muungano ni kombe la bonanza linalohusisha timu mabingwa wa TZ bara na visiwani ( Zanzibar) so kitendo Cha mnyama kuchukua ubingwa huu Ina maanisha Simba ndiye mwamba wa timu zote za TZ bara na Zanzibar ukimtoa Yanga
Kwanini Simba ni baba lao Tz ukiitoa Yanga
Kama...
Msimu uliopita makolo walijigamba kuwa wachezaji wake wote waliibiwa Kwa Yanga pale walipokanyaga tu airport....Kwa msioelewa ni hivi ....Yanga inatafuta wachezaji then inawakodia ndege but kutokana na ujasusi wa 5imba inakwenda kuwanasa airport...Yanga wanabaki kushangaa[emoji23][emoji23]...
Ukienda kule DSTV (Jua Kali) utawakuta familia ya kina Mwaipopo [emoji23] ambao ni Gabo, Eliudi, Mwaipopo, Uncle Lusajo na Chichi & Mama Gabo, familia yenye kila aina ya vituko.
Hawa jamaa ni moto [emoji91] [emoji91] [emoji91] aisee wanakamia show sijapata kuona full confidence na kuitawala...
"Sisi hatushiriki Muungano Cup kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu,lakini tutakwenda Zanzibar kufatilia hali ya my wetu" - Alikamwe.
Ambapo tutajua amekula nini, amefikia wapi, ameimprove vipi kwenye Michezo yake.
MUUNGANO CUP: Nusu fainali Kombe la Muungano Mnyama Simba SC kukipiga na KVZ wakati AzamFC kumenyana na KMKM
Michezo hii kuruka mbashara kupitia #AzamSports1HD
Je, ni timu gani kutinga fainali?
#MuunganoCup #KVZSimba #AzamFCKMKM
Nb: Simba ni timu pekee duniani ....imeingia semi final bila...
“Biashara ya Simba ishakuwa ngumu msimu huu, Ni ngumu kwa Simba kuvuna alama tatu kwa mechi zilizobaki kutokana na kufanya vibaya uwanjani mara kwa mara” - @nasrikhalfan_
@sportsarena88.9
@kivumbisokalanyumbani
Je unakubaliana na hili???
BENCHIKA: WACHEZAJI WANGU NI WAGUMU KUELEWA, NISILAUMIWE MIMI.
Tangu nimeanza kufundisha mpira sikuwai kukutana na timu yenye wachezaji wagumu kuelewa kama hii simba timu inacheza tofauti kabisa na matakwa yangu.
Nitaongea tena na viongozi wangu kama nitakubaliwa kuunda timu yangu upya msimu...
Salaam wakuu,
Makolo poleni na kipigo
Kila mtu Huwa na kile kinachomfanya aenjoy kwenye soka la hapa bongo na hivi Huwa havifanani from one person to another
Mfano: Mimi Huwa makolo wakikandwa Huwa na enjoy kelele/ lawama za mashabiki wa 5imba pale ambapo wakipoteza mechi, hata kama nilitaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.