Kocha wa Simba kuchukua ubingwa na kujiudhuru

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
16,216
25,002
๐”๐ฅ๐ข๐ฌ๐ก๐š๐ฐ๐š๐ก๐ข ๐ค๐ฎ๐จ๐ง๐š ๐ฐ๐š๐ฉ๐ข ๐ค๐จ๐œ๐ก๐š ๐š๐ค๐š๐œ๐ก๐ฎ๐ค๐ฎ๐š #๐Š๐จ๐ฆ๐›๐ž ๐Œ๐š๐š๐ง๐š ๐ก๐š๐ฅ๐š๐Ÿ๐ฎ ๐ฎ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎ ๐ฐ๐š๐ค๐ž ๐š๐ค๐š๐ฏ๐ฎ๐ง๐ฃ๐š ๐ฆ๐ค๐š๐ญ๐š๐›๐š?

Unaambiwa hii imetokea pale mjini... ukoloni

1714306220955.jpg
 
View attachment 2976862

Miaka hiyo aliyekuwa kocha wa Real Madrid VICENTE DEL BOSQUE aliondolewa ukocha pale Madrid kwa kuwa tu ijapokuwa walipata ubingwa lakini walifungwa na Barcelona na hata Atletico Madrid. Pia walipata kwa jasho na damu yaani dakika za majeruhi. Kilichofuata kwa Madrid mashabiki tulikiita LAANA YA DEL BOSQUE. kwa kuwa miaka miwili mfululizo Madrid hakupata kombe la Ubingwa wa Hispania. Ingawa aliweza kupata vikombe vingine. Mtanisahihisha Iwapo sijaileta sawa sawa kumbukumbu hii. mwaka sikumbuki pia.
 
Ipo sahihi...japo sikumbuki
 
Ipo sahihi...japo sikumbuki
Fact kutoka katika mitandao zinaeleza kuwa ilikuwa mwaka 2003, mwisho wa msimu. Na sababu ni mkataba wake uliisha na hawakutaka kurenew viongozi, sababu ya kushindwa katika Champions League. wachezaji walitaka abaki ila Rais wa timu Florentino Perez hakutaka.
 
Perez alikuwa na msimamo sana
 
Miaka hiyo aliyekuwa kocha wa Real Madrid VICENTE DEL BOSQUE aliondolewa ukocha pale Madrid kwa kuwa tu ijapokuwa walipata ubingwa lakini walifungwa na Barcelona na hata Atletico Madrid. Pia walipata kwa jasho na damu yaani dakika za majeruhi. Kilichofuata kwa Madrid mashabiki tulikiita LAANA YA DEL BOSQUE. kwa kuwa miaka miwili mfululizo Madrid hakupata kombe la Ubingwa wa Hispania. Ingawa aliweza kupata vikombe vingine. Mtanisahihisha Iwapo sijaileta sawa sawa kumbukumbu hii. mwaka sikumbuki pia.
Mimi ndio sijaelewa kabisa
 
Back
Top Bottom