Siyo kweli kwani point za Kwanza walizipataje?“Biashara ya Simba ishakuwa ngumu msimu huu, Ni ngumu kwa Simba kuvuna alama tatu kwa mechi zilizobaki kutokana na kufanya vibaya uwanjani mara kwa mara” - @nasrikhalfan_
@sportsarena88.9
@kivumbisokalanyumbani
Je unakubaliana na hili???View attachment 2971065
Usihofu sasa Viongozi wako busy kutenga Hela za Kuhonga ili angalau Timu iwe ya Pili kwani isipokuwa Wapigwa vibaya.Simba ana fixtures za hatari halafu timu imechoka.
Ni Mbu Mbu mbu according rageTimu ya simba ina viongozi mbumbumbu! Na pia inaendeshwa kienyeji sana.
Yaani katika mazingira haya magumu inayopitia, huku ikiwa na kikosi kisicho na rotation ya wachezaji; bado wanakubali eti kwenda kushiriki kombe la muungano wa nini sijui!! Wameshindwa kujifunza kwa Yanga aliyekataa kwenda kupoteza muda kwenye hilo bonanza!
Wasipoangalia, nafasi ya tatu itawahusu msimu huu.
Haya ni ukweli mtupu iwapo Inonga atakuwa sehemu ya kikosi.“Biashara ya Simba ishakuwa ngumu msimu huu, Ni ngumu kwa Simba kuvuna alama tatu kwa mechi zilizobaki kutokana na kufanya vibaya uwanjani mara kwa mara” - @nasrikhalfan_
@sportsarena88.9
@kivumbisokalanyumbani
Je unakubaliana na hili???View attachment 2971065