Search results

  1. matunduizi

    Hii ndio sababu kubwa kwa nini ujiwekee malengo yasiyowezekana kwenye maisha yako

    Kama unaamini Mungu ni wa Yasiyowezekana, alafu wewe unavimalengo vinavyowezekana, au unaogopa kukusudia jambo kubwa linaloumiza kichwa, humuamini huyo Mungu. Malengo au lengo lisilowezekana katikati ya malengo yako litakusaidia kwanza wewe ubadilike ili litokee. Wewe kabla ya kutekeleza na...
  2. matunduizi

    Walimu wengi wa ndoa ni wachonganishi wa familia: Pesa zote zinapaswa kusalimishwa kwa Mume kichwa cha familia

    Mwanaume ameaminiwa na Mungu na kuwekwa kuwa kichwa cha familia. Kichwa ndio Injini ndio ubongo wa familia. Kwa mtazamo huu Rasilimali na vipato vyote vya familia vinapaswa kuwasilishwa kwa kichwa mara tu vinapopatikana. Mwanamke hata uwe CEO wa Google(kampuni inayoongoza kwa kulipa mishahara...
  3. matunduizi

    Hizi ndio sababu kwanini ni rahisi kwenda mbinguni kuliko motoni

    1: Mungu ananguvu kuliko shetani. 2: Mungu ametoa kila kitu cha lazima mtu yeyote atakaye kwenda aende. Hakuna alichobakiza. 3: Neema ya Mungu ina nguvu kuliko nguvu ya dhambi 4: Kwa Mungu unaweza kuwa muovu miaka yako yote ilq sekunde moja tu kama mwizi msalabani ukasema Unikumbuke katika...
  4. matunduizi

    Kwanini kutoa msaada ni ibada

    Watu wa dini, wasioamini Mungu, freemasons kupitia charity zao, wote wanaunganishwa katika jambo moja la kutoa msaada kwa watu wenye shida. Kutoa kwa kusukumwa na huruma kwa mwanadamu mwenzako ni ibada kamili iliyokamilika. Hii kazi ilipaswa kufanywa na Mungu mwenyewe aliyemuumba huyo mtu, wewe...
  5. matunduizi

    Kati ya imani za Kikristo, Kiislam na zile za asili ni ipi imechocheq umasikini kwa kasi nchini?

    Hadi sasa bado umasikini ni janga la taifa na mtu mmoja mmoja. Ukiacha CCM ambayo wanasiasa wanailaumu kwa kukaa madarakani miaka mingi na bado shida ziko palepale jamii mpya imeibuka inalaumu Mifumo ya imani. Je unadhani ni imani ipi imetoa mchango kwa asilimia kubwa katika umasikini wa...
  6. matunduizi

    Kama asili ya Wazanzibari ni bara, kwa nini wasihamishiwe huku bara kwenye maeneo ya wazi kupisha watalii

    Kwa maelezo ya wataalam ni kuwa karibu watu wote wa zanzibar wametokea bara kiasili. Kwenda wenyewe, kupelekwa na waarabu, au walowezi kutoka bara asia (wachache). Kwa namna Tanzania tulivyojichanganya ni uongo kusema tuvunje muungano au tuwe na serikali tatu au hizi mbili lalamikiwa. Nashauri...
  7. matunduizi

    Kwanini wamama wa siku hizi wamepoteza utisho wa kianamke

    Wamama wa miaka ya 90 kurudi nyuma walikuwa vyuma kwelikweli. Walikuwa na uwezo wa kukuchapa na kukunyoosha kwa macho tu. Nakumbuka siku nilipotoroka nyumbani kwenda na magenge ya watoto mitaani kutembea. Bahati mbaya nikakutana naye amekaa katikati ya kundi la kinamama kuna jicho alinikata...
  8. matunduizi

    Ngono ni hitaji namba 3 kwa mwanamke. Lazima uanze kumpa haya mawili kwanza

    Sisi watumishi akili zetu zimekubali kuongozwa na maandiko. Maandiko katika kutoka 21:10 inatoa list ya mahitaji ya muhimu kwa mke au mwanamke. 1: Chakula. 2: Mavazi. 3: Ngono. Kabla hujajiandaa kupiga misamba na style mbalimbali za kumfaidi mwanamke wako hakikisha kwanza unamlisha vizuri...
  9. matunduizi

    Emergency fund: Unatumia njia ipi kujiwekea aina hii ya akiba?

    Nimesoma vitabu na kusikiliza hotumbq mbalimbali youtube na machapisho kadhaa ya uchumi binafsi ( personal economy) nimeona wote wanasisitiza mtu kuwa na EMMERGENCY Fund. Hiki ni kiasi ambacho umekitunza kiko standby kwa lolote litakalokupata ghafla. Kama ni mfanyabiashara au muajiriwa ni kiasi...
  10. matunduizi

    Mambo 7 Kutoka katika Biblia yanayosababisha umasikini wa haraka kwa Familia au mtu binafsi

    Wasalaam. Twende moja kwa moja. 1: Kuamini Mungu anatoa pesa/Mali wakati yeye hutoa nguvu ya kuzipata hizo pesa. Kumbukumbu la Torati 8:18 Bali utamkumbuka BWANA, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; 2: Mtazamo wa kifikra(Mindset) wa kimasikini. Mithali 23:7 Maana...
  11. matunduizi

    Sikutarajia Israel Wajibu kinyonge hivyo, wenda maombi yetu ya amani yamesaidia

    Inaonekana wametumia vidrone vya kawaida sana, picha zinazoonyeshwa ni kama zile drone za kwenye maharusi au wanazotumia kurekodia kwaya. Pia nimeshangaa gazeti la Jerusalem post kuweka picha ya mashambulizi ya Gaza kuonyesha ndio picha ya shambulizi lake Iran. Kuna matatu 1: Amewaogopa...
  12. matunduizi

    Kwanini hupaswi kuacha kujiongelesha mwenyewe vile unavyotaka uwe hata kama bado haujawa?

    Moja ya tamaduni ya zamani kabisa ni ile ya kuongea mwenyewe. Siku hizi ukiongea mwenyewe unaonekana chizi, hii haikuzuii kuongea mwenyewe au kujiongelesha mwenyewe ukiwa faragha. Ukisoma maandiko matakatifu sehemu nyingi hasa zaburi mwandishi anajiongelesha mwenyewe. Hata Mungu mwenyewe...
  13. matunduizi

    Achana na uongo wa kujifunza kwa waliofeli, jifunze kwa waliofaulu kihalali tu

    Hepuka ushauri na kujifunza kwa watu ambao wanafeli mfululizo na muda wote wanapambana kifedha bila mafanikio. Jifunze kwa watu wanaofaulu kihalali, watu wambao wamejijengea mifumo yenye kuleta ufaulu hata kama hawajasoma. Jifunze nidhamu zao, lugha zao za mwili, namna wanavyoendesha mambo...
  14. matunduizi

    Mitume na manabii wa kisasa wasipodhibitiwa wanaweza kusababisha uchonganishi wa kitaifa.

    Wasalaam. Mahubiri mengi kwa hawa mitume na manabii wa kisasa yamejaa uchonganishi, manipulation, saikolojia na neno kidogo. Mengine yote sinashida nayo shida ni hii ambayo pia hata waganga huwa wanafanya. Uchonganishi. Yaani mtu anaenda kuombewa, muombewaji anaaminishwa kalogwa, mlogwaji...
  15. matunduizi

    Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

    Kabla chochote hakijafanyika wanaambiana. Hapa Iran anadai US anaomba Iran ijifanye kama inapigwa ili Israel ionekane iko vizuri au imejibu. Dunia ilipofika. Wawakilishi wa Iran, Russia, Ukraine, Israel, US na Ulaya wanaweza kukaa kikao sehemu mafichoni huku wanatrigger mambo duniani na media...
  16. matunduizi

    Tofauti kati ya vitukuu vya mzungu na vitukuu vya mtu mweusi. Miaka 137 iliyopita na leo

    Mercedes benzi miaka 137 iliyopita na leo. Mswahili akipanda miaka 137 iliyopita na leo.
  17. matunduizi

    Vitu vya kuanza navyo kuchochea safari ya kutajirika mapema

    Pesa inayokutajirisha ni ile inayogeuka kama chambo ya kunasa pesa zaidi. Kuna mambo unayotakiwa kuyadhibiti kabla hujakurupukia ndoto za utajiri. Mambo ambayo yatakusababisha kila kinachoingia kiingie ili kilete pesa zaidi 1: Chakula Hakikisha una mfumo imara wa kula tena kula vizuri...
  18. matunduizi

    Kama nchi tunajipangaje na huu uwezekano mkubwa wa WW3 ambao utakuwa na athari kubwa duniani?

    Kwa mashambulizi ya jana na usiku huu waliyofanya Iran kwa Israel tutegemee Israel kujibu. Tishio ni kubwa kiasi kwamba "Doomsday Plane" ya Israel imeonekana ikipaa ikidhaniwa ni viongozi wanahama nchi. Ni kubwa kiasi kwamba inasemekana Netanyahu amehama Ikulu na kukimbilia kwenye jumba kubwa la...
  19. matunduizi

    Kwanini kipimo cha nguvu za Mungu maishani mwako kiko kichwani na kinywani mwako?

    Tofauti yako na yule ambaye unaona anamfaidi Mungu na nguvu zake iko kichwani na kinywani mwako. Wote ambao akilini mwao wanaamini katika ufinyu na uhafifu wa uwezo wa Mungu watafaidi uhafifu na ufinyu huo. Wale wanaoamini katika na kusadiki kabisa kuwa kwao Mungu ananguvu na uweza wote kuliko...
  20. matunduizi

    Kwanini Mungu na shetani wote hawataki kufanya kazi na mtu mvivu asiye mbunifu?

    Mtu mvivu, legevu, asiyejali muda na mwenye maneno mengi kuliko vitendo Mungu hampendi na shetani hampendi. Waliomstari wa mbele (frontliners) kwa Mungu na kwa Ibirisi huwezi kukuta mtu mvivu asiyejali na mzembemzembe. Hakuna nabii wa uongo mvivu asiye risk taker. Wako smart, wanaamka mapema...
Back
Top Bottom