Sikutarajia Israel Wajibu kinyonge hivyo, wenda maombi yetu ya amani yamesaidia

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,639
15,450
Inaonekana wametumia vidrone vya kawaida sana, picha zinazoonyeshwa ni kama zile drone za kwenye maharusi au wanazotumia kurekodia kwaya.
20240419_115510.jpg

Pia nimeshangaa gazeti la Jerusalem post kuweka picha ya mashambulizi ya Gaza kuonyesha ndio picha ya shambulizi lake Iran.
20240419_112313.jpg

Kuna matatu
1: Amewaogopa Iran. Maana israel utaratibu wake ni ukimpiga na bomu moja yeye atakupiga na mabomu laki. Ukijibu laki yeye anakupiga mabomu millioni.

2: Ujanja wa US 🇺🇸 kusema kuwa Israel wajifanye wamelipua Iran, ili habari isambazwe ionekane kama wamejibu kuficha aibu ili mambo yaishe.

3: Mungu amejibu maombi maana mkuu wa atomic wa Iran amesema Hakuna kilichoharibiwa. Na kama wakiendelea kuwachokoza itabidi nao kwa haraka watengeneze silaha ya atomic ili kuwahughulikia Israel.
Hadi sasa naona Mungu yuko upande wetu wapenda amani maana pale middle east pakifungwa kwa vita dunia nzima itasimama na sisi huku nchi masikini ( Raia kuwa masikini ni kujitakia) tutaathirika pakubwa sana.

Ni hayo tu.
 
Siyo kupenda kwao ni uwezo mdogo
Unajua Iran amefikisha mabomu yake kwenye site za kijeshi za israel ambazo nyingine zinalalindwa na US kwa rada za kisasa kabisa, mabomu mengine yamekatiza juu ya Bunge lao wanaloliaminia kabisa.

Tena kwa upendo mwingi hayakulenga mtu ni kama salamu tu kuwa tunawamudu. Hiki kitendo kimesababisha majenerali wa US na IDF wajifungie kufanya upembuzi yakinifu ya kilichotokea huku Iran ikisema haijatumia Silaha zake ambazo ni za kisasa na hakuna anayezijua.

Hapo lazima uwe mpole ili amani idumu.
 
Inaonekana wametumia vidrone vya kawaida sana, picha zinazoonyeshwa ni kama zile drone za kwenye maharusi au wanazotumia kurekodia kwaya.

Pia nimeshangaa gazeti la Jerusalem post kuweka picha ya mashambulizi ya Gaza kuonyesha ndio picha ya shambulizi lake Iran.
View attachment 2968087

Kuna matatu
1: Amewaogopa Iran. Maana israel utaratibu wake ni ukimpiga na bomu moja yeye atakupiga na mabomu laki. Ukijibu laki yeye anakupiga mabomu millioni.

2: Ujanja wa US 🇺🇸 kusema kuwa Israel wajifanye wamelipua Iran, ili habari isambazwe ionekane kama wamejibu kuficha aibu ili mambo yaishe.

3: Mungu amejibu maombi maana mkuu wa atomic wa Iran amesema Hakuna kilichoharibiwa. Na kama wakiendelea kuwachokoza itabidi nao kwa haraka watengeneze silaha ya atomic ili kuwahughulikia Israel.
Hadi sasa naona Mungu yuko upande wetu wapenda amani maana pale middle east pakifungwa kwa vita dunia nzima itasimama na sisi huku nchi masikini ( Raia kuwa masikini ni kujitakia) tutaathirika pakubwa sana.

Ni hayo tu.
Kwa vile umendika uzi wa kuonesha kuidharau Israel, basi nakuhakikishia kuwa huu uzi wako, muda mchache tu utaunganishwa na uzi mungine ili kuuficha uzi wako usiendelee kuonesha kuwa Israel sio lolote si chochote kwa Iran, na pia kupoteza kile ulichoandika.
 
Marekani kamwambia Iran we kubali hivyo vidrone viruke hapo kwako halafu tuseme israeli imekushambulia ili kuiondolea aibu israeli. Yani kwa kifupi US kamfanya mpumbavu sana muisraeli kama mtoto mdogo. Ili kuweka mizania sawa . Iran nae atakua ameidharau sana israeli
 
Sishangai maana matajiri wa kiyahudi ndio wanamiliki direct au indirect media kubwa zote na social media ulimwenguni. Waliwahi kujua ujanja wa kuwekeza kwenye pesa direct mapema.

Ndio mqana uzi huu lengo sio kuponda, ni kumshukuru Mungu kwa kutusaidia amani iendelee kwa kuwafanya wazee wa baraza la vita Israel wajibu kinyonge.
 
Marekani kamwambia Iran we kubali hivyo vidrone viruke hapo kwako halafu tuseme israeli imekushambulia ili kuiondolea aibu israeli. Yani kwa kifupi US kamfanya mpumbavu sana muisraeli kama mtoto mdogo. Ili kuweka mizania sawa . Iran nae atakua ameidharau sana israeli
Hatari sana. Tatizo Iran amemzidi ujanja Israel. Kiuzoefu Iran ni Senior kwa Israel miaka yote. Tena zamani wafanyakazi wa Ikulu za iran walikuwa watumwa wa Kiyahudi. Kitabu cha nehemia na Daniel kinaelezea sana.

Waache mavita tuendelee na maisha.
 
Kwa vile umendika uzi wa kuonesha kuidharau Israel, basi nakuhakikishia kuwa huu uzi wako, muda mchache tu utaunganishwa na uzi mungine ili kuuficha uzi wako usiendelee kuonesha kuwa Israel sio lolote si chochote kwa Iran, na pia kupoteza kile ulichoandika.
Unajua wengi wanaichukia Israel wakifananisha kama ni taifa linalopinga dini zingine nje na za kiyauhudi
 
Inaonekana wametumia vidrone vya kawaida sana, picha zinazoonyeshwa ni kama zile drone za kwenye maharusi au wanazotumia kurekodia kwaya.
View attachment 2968115

Pia nimeshangaa gazeti la Jerusalem post kuweka picha ya mashambulizi ya Gaza kuonyesha ndio picha ya shambulizi lake Iran.
View attachment 2968087

Kuna matatu
1: Amewaogopa Iran. Maana israel utaratibu wake ni ukimpiga na bomu moja yeye atakupiga na mabomu laki. Ukijibu laki yeye anakupiga mabomu millioni.

2: Ujanja wa US 🇺🇸 kusema kuwa Israel wajifanye wamelipua Iran, ili habari isambazwe ionekane kama wamejibu kuficha aibu ili mambo yaishe.

3: Mungu amejibu maombi maana mkuu wa atomic wa Iran amesema Hakuna kilichoharibiwa. Na kama wakiendelea kuwachokoza itabidi nao kwa haraka watengeneze silaha ya atomic ili kuwahughulikia Israel.
Hadi sasa naona Mungu yuko upande wetu wapenda amani maana pale middle east pakifungwa kwa vita dunia nzima itasimama na sisi huku nchi masikini ( Raia kuwa masikini ni kujitakia) tutaathirika pakubwa sana.

Ni hayo tu.
Mungu nakuomba uepushe vita duniani kote!
 
Habari mbaya mno hii kwa wale mabwanyenye uchwara wa vita; MK254 na wenzao Buza pale.

Imekuwa kelele za chura au za mlango. Kazi kweli kweli.
 
Marekani kamwambia Iran we kubali hivyo vidrone viruke hapo kwako halafu tuseme israeli imekushambulia ili kuiondolea aibu israeli. Yani kwa kifupi US kamfanya mpumbavu sana muisraeli kama mtoto mdogo. Ili kuweka mizania sawa . Iran nae atakua ameidharau sana israeli

Kwa hakika imekuwa ni kinyonge sana! Bora angerusha hata jiwe Kwa manati:

IMG_20240419_115605.jpg

MK254 umeona nduguzo migambo wanarukaruka na kukanyagana huku?

IMG_20240419_125553.jpg

Ama kweli vita si lele mama
 
Kwa vile umendika uzi wa kuonesha kuidharau Israel, basi nakuhakikishia kuwa huu uzi wako, muda mchache tu utaunganishwa na uzi mungine ili kuuficha uzi wako usiendelee kuonesha kuwa Israel sio lolote si chochote kwa Iran, na pia kupoteza kile ulichoandika.
😀😀
 
Back
Top Bottom