Mali ulizozipata kwenye ndoa ni zako na mke huyo wa ndoa na hao watoto. Hayo mambo mengine nje jitahidi uyamalize nje ya ndoa hukohuko kabla hujafa.
Ndio maana Ibrahim ilibidi amfukuze mtoto wa nje ya ndoa na mama yake ili wakabarikiwe wakiwa kwingine sio hapo. Na Mungu akasikia na kumbariki...
Kwa sababu kuna mambo mengi ambayo kwetu hayawezekani ila akihusishwa Mungu yanawezekana.
Hii inatanua wigo wa kiakili kupokea na kufanikiwa hata kwa yale ambayo hata akili zetu haziyaamini.
Mfano mtu mmoja alikuwa hatua ya kufa, hadi watumishi wakaja kumpaka mafuta na kumuombea afe kwa...
Kama unaamini Mungu ni wa Yasiyowezekana, alafu wewe unavimalengo vinavyowezekana, au unaogopa kukusudia jambo kubwa linaloumiza kichwa, humuamini huyo Mungu.
Malengo au lengo lisilowezekana katikati ya malengo yako litakusaidia kwanza wewe ubadilike ili litokee. Wewe kabla ya kutekeleza na...
Kuna mtu mmoja kkoo hapo ni faster tu na hakuna matata baada ya tohara. Simkumbuki jina ila kuna mtu aliwahi kunielekeza huko kupata huduma kwa vijana wangu. Hata BOCH pia wako vizuri kama uko maeneo ya mbezi.
Mtu akifa anakwenda kaburini au hapo alipofia. Sio motoni au peponi.
Siku ya hukumu dunia nzima itahukumiwa kwa pamoja, hao mababu na mabibi nao watahukumiwa kwa kiwango chao cha uelewa wa mema kwa wakati wao.
Mimi nimepata hasara ya kushindwa kuwafundisha watu wangu namna ya kuwa katika viwango ambavyo vitawafanya kuwa baraka kwa familia na Taifa.
Kwa hii hitilafu nimemiss Bwana Elon Musk na Starlink yake. Nchi hii tunalazimishana kuwa masikini
Upeo wa uelewa wa kiongozi wa dini unategemea kiwango chake cha kumuelewa Mungu sio taratibu za kiriturujia za kidini. Ndio maana Yesu mtoto muumini kabisa wa miaka 12 aliwaoutsmart magwiji ya viongozi wa kidini.
Tunapaswa ķutafuta uhusiano wa juu na Mungu hii ndio muhimu sio kutafuta kutally...
1: Furaha mtu anayoipata kwa cocaine, au punyeto au chochote nje ya hii ya Mungu ni furaha feki tena yenye lifespan fupi sana. Ni sawa na utamu mtu anaoupata akila kitu chenye ladha feki kama pipi. Baada ya kula anapata kiu kubwa ya furaha kuliko kabla hajapata hiyo.
Muasisi wa mambo feki ni...
Mwanaume ameaminiwa na Mungu na kuwekwa kuwa kichwa cha familia.
Kichwa ndio Injini ndio ubongo wa familia. Kwa mtazamo huu Rasilimali na vipato vyote vya familia vinapaswa kuwasilishwa kwa kichwa mara tu vinapopatikana.
Mwanamke hata uwe CEO wa Google(kampuni inayoongoza kwa kulipa mishahara...
Sio mimi ni aleiumba ndio anasema hivyo. Tunaishi kwenye version chakavu kabisa ya dunia.
Isaya 24:20
Dunia inalewa-lewa kama mlevi, nayo inawaya-waya kama machela; na mzigo wa dhambi zake utailemea; nayo itaanguka, wala haitainuka tena.
Mwanadamu ndiye mfalme wa hii dunia. Alichokifanya pale...
Mbinguni kuna vitu ambavyo macho hajawahi kuviona, wala masikiò kusikia. Mambo ambayo Mungu ameandaa kama zawadi kwa watoto wake.
Biblia imeyaeleza kwa lugha hafifu maana mengine hayaelezeki kwa lugha za duniani.
Kuhudu kuumia wenzako kuungua motoni. Kitu cha kwanza zoezi hilo litatanguliwa na...
Ushahidi nilionyesha kwa ufafanuzi wa 1 thesalonike 4. Huo hujauzungumzia kabisa. Hata Yesu mwenyewe ni ushahidi anakwenda kuandaa mahali ili aje atuchukue yeye alipo na sisi tuwepo. Hilo zoezi ni utangulizi wa kiti cha enzi kushuka.
Kama Mungu anashuka kutoka mbingini na watu kuja sehemu mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.