Peaky blinders
JF-Expert Member
- May 8, 2023
- 3,889
- 7,086
DR Mambo Jambo Kuna uzi jana uliongea kuhusu betulah, kuna mahali niliona kama umechanganya kidogo ila nikawa busy, nikasema nitakuuliza ila nimejaribu kuutafuta leo sijauona. Au umeshahamishiwa jukwaa la dini? Kama haujahamishwa nitag nikuulize.