Kwa Mfanyabiashara Anaeweza Kuzalisha 1m kwa Mtaji wa 5m kwa wiki

Habari wana Jamvi la JF naamini kuna watu wanafanya Biashara na wapo kwenye Peak yani kilele cha mafanikio.

Ila kuna shida inaweza kumpata mtu kupelekea akatengeneza hasara ya kupunguza faida anayoipata ndani ya Wiki.

Nina 5m namtaka mtu mmoja ambae anafanya biashara na ana uhakika wa kutengeneza 1m ndani ya wiki.

Nakupa 5m utengeneze 1m Tugawane 500k kila mtu.

Biashara Yako ni Lazima unionyeshe kwa vitendo inafanyikaje na nihusike katika kuifanya na ndani ya hiyo wiki tuwe na Faida yetu.

Sikupi Hela nikakaa home,nakupa hela Tunaingia wote FRONT kuizalisha Yangu ni 500k na yako ni 500k. Tunagawana Faida.

uhakika Katika Hili liki success Ku raise capital to 20m naweza ila tu FAIDA yetu ni ndani ya Wiki sio Mwezi.

Kwahyo kama yupo mfanyabiashara mwenye uhakika wa anachokifanya tunaweza kuanza kwa hii 5m then ikitiki nipo tayari kuongeza mtaji to 20m kama biashara itahitaji kiasi hicho cha mtaji.

PM ipo Wazi naweza Nisijibu Comment kwasababu ya Ubize wa Hapa na Pale ila sitoacha Jibu PM kwa Mfanyabiashara ataenionyesha Faida kiuhalisia.

Lets All Raise our income.
🤔🤔🤔🤔🤔 This is very fan. Hujawahi kutokea hata ukiiweka fixed account huwezi pata hiyo profit. Anza kidogo kidogo na pesa yako hiyo. Vitu vikubwa huanza kwa udogo na kubadilika kwa ukubwa. Ni hayo tu kwa leo JF.
 
mh kuna watu ni wajinga na kwa ujinga wao kutoka inakua ngumu.....

yaani uje na ki 5m chako kwenye biashara yangu iliyosimama nikuelekeze tufanye wote alafu tugawane faida 🤣🤣🤣🤣🤣 haya tunaitaga mawazo chupi achilia mbali kuhusu faida ya 1m kwa wiki ambayo hutaipata na tunapima uwezo wa mtu kwenye mawazo yake.....

nikushauri tu tafuta bhange uuze na uvute itakusaidia maishani
 
Mkuu inawezekan kabisa
Strategies

Nipo na meza karikoo na vijana wangu watatu tunanunua vitu vinavyotembea sana vya wachina kama viatu vya kike,vinguo vya watoto,au protecta za sim na makava , tunaingia field hapo kwa kuanza tutatumia kama m 3 tu ....
Kama tukienda sawa tunaanza kutafuta frem and umaskini utakua byeeee

Mkuu k koo haidanganyi
 
Habari wana Jamvi la JF naamini kuna watu wanafanya Biashara na wapo kwenye Peak yani kilele cha mafanikio.

Ila kuna shida inaweza kumpata mtu kupelekea akatengeneza hasara ya kupunguza faida anayoipata ndani ya Wiki.

Nina 5m namtaka mtu mmoja ambae anafanya biashara na ana uhakika wa kutengeneza 1m ndani ya wiki.

Nakupa 5m utengeneze 1m Tugawane 500k kila mtu.

Biashara Yako ni Lazima unionyeshe kwa vitendo inafanyikaje na nihusike katika kuifanya na ndani ya hiyo wiki tuwe na Faida yetu.

Sikupi Hela nikakaa home,nakupa hela Tunaingia wote FRONT kuizalisha Yangu ni 500k na yako ni 500k. Tunagawana Faida.

uhakika Katika Hili liki success Ku raise capital to 20m naweza ila tu FAIDA yetu ni ndani ya Wiki sio Mwezi.

Kwahyo kama yupo mfanyabiashara mwenye uhakika wa anachokifanya tunaweza kuanza kwa hii 5m then ikitiki nipo tayari kuongeza mtaji to 20m kama biashara itahitaji kiasi hicho cha mtaji.

PM ipo Wazi naweza Nisijibu Comment kwasababu ya Ubize wa Hapa na Pale ila sitoacha Jibu PM kwa Mfanyabiashara ataenionyesha Faida kiuhalisia.

Lets All Raise our income.
Tumia andiko la mpango wa biashara ambapo kwakupitia mpango huo utaweza kujua kilakitu kabla hata ya kufanya biasharap
 
Back
Top Bottom