Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 1,888
- 5,028
Unalipi la kuzungumza au ushawai kula hii kitu wapi
Aisee. Lowe hiyo!Unalipi la kuzungumza au ushawai kula hii kitu wapiView attachment 3162401
Waha na wahutu/wanyarwanda wakimbizi.Waganda
Naam 👏🏾👏🏾Hii nayo ni dawa ya nguvu za kiume au?
Mimi nilidhani ni nanii mbili za mzungu zimekatwa 😂😂😂😂Aisee. Lowe hiyo!
Ugali huu unakaa hata mwaka wanatumia sana wahutu maana wao wálikuwa kila siku wanakimbia vita ndo wakagundua ugali wenye shelf life ya muda mrefu.
Utani sasa huo 😂😂🏃🏽♂️Mimi nilidhani ni nanii mbili za mzungu zimekatwa 😂😂😂😂
We jamaa🙌🙌😂Mimi nilidhani ni nanii mbili za mzungu zimekatwa 😂😂😂😂
Nilidhani mapande ya kitimoto 😄 🤣 😂 😆 😄Mimi nilidhani ni nanii mbili za mzungu zimekatwa 😂😂😂😂
Bumbu za pig?Nilikula hiyo kitu Buhigwe Kigoma
Ni aina ya ugali laini sana, ili ushibe inakulazimu kununua walau tonge nne hadi tanoBumbu za pig?
Wa Mahindi?Ni aina ya ugali laini sana, ili ushibe inakulazimu kununua walau tonge nne hadi tano