Kanjulai
Member
- May 18, 2022
- 40
- 47
Daaah Wahutu wa katumba walikuwa wanatuuzia tukipita na treni, kipindi icho ni Mpanda mkoa wa Rukwa sasa ni Katavi.Unalipi la kuzungumza au ushawai kula hii kitu wapiView attachment 3162401
Daaah Wahutu wa katumba walikuwa wanatuuzia tukipita na treni, kipindi icho ni Mpanda mkoa wa Rukwa sasa ni Katavi.Unalipi la kuzungumza au ushawai kula hii kitu wapiView attachment 3162401
Mchanganyiko wa mahindi machanga (mabichi), muhogo (wanaita udaga) na ndizi. Wana uandaaji wake ugali unakuwa laini mno na kwa maelezo yao (wenyeji) wanasema una uwezo wa kukaa nao kwa muda mrefu bila kuwa mgumu i.e unabaki laini vilevileWa Mahindi?
Duuuh hauozi?Mchanganyiko wa mahindi machanga (mabichi), muhogo (wanaita udaga) na ndizi. Wana uandaaji wake ugali unakuwa laini mno na kwa maelezo yao (wenyeji) wanasema una uwezo wa kukaa nao kwa muda mrefu bila kuwa mgumu i.e unabaki laini vilevile
Wanadai hauozi kwa muda wa siku kadhaa. Wakati wa misukosuko ya wakimbizi kwakuwa walitangatanga hivyo walibuni aina hiyo ya chakula ambacho kiliwasaidia sana kusafiri nacho kutoka sehemu moja hadi nyingine kwa siku kadhaa kabla hawajapata suluhisho la chakula kingine.Duuuh hauozi?
Huko ndio najua kuna Wahutu wengi sana maeneo hayoWanadai hauozi kwa muda wa siku kadhaa. Wakati wa misukosuko ya wakimbizi kwakuwa walitangatanga hivyo walibuni aina hiyo ya chakula ambacho kiliwasaidia sana kusafiri nacho kutoka sehemu moja hadi nyingine kwa siku kadhaa kabla hawajapata suluhisho la chakula kingine.
Wao wanaita LOME kama kumbukumbu zangu zipo sahihi maana ni muda umepita tangu nilipokuwa maeneo ya Buhigwe Kigoma
Ni ugali wa mihogo. Mihogo inachakatwa kwa hatua mbalimbali. Ugali huu ni maalum kwa ajili ya majanga hasa wakati wa vita. Hutengenezwa na kuhifadhiwa kwenye majani ya migomba na ikitokea vita wakimbizi hubeba Lowe kwà kula hadi misaada itakapowafikia.Wa Mahindi?