Niko mkoani. Nimechecki tyre dealers kadhaa wa k/koo... hawana hiyo brand.
Dunlop niliidrop muda sana , sihitaji kuirudia.
Napendelea sana kuishi na GoodYear.
Kama unapenda GoodYear agiza nje ya Tanzania!Niko mkoani. Nimechecki tyre dealers kadhaa wa k/koo... hawana hiyo brand.
Dunlop niliidrop muda sana , sihitaji kuirudia.
Napendelea sana kuishi na GoodYear.
Kama unapenda GoodYear agiza nje ya Tanzania!
Mkataba uko Michelin, hao wengine hakina GoodYear, BF Goodrich, Dunlop, Yokohama, Pirell, Kumho, nk. ndio wanafuataYep, Goodyear wana viatu vyuma mno mkuu. Hapo ni mkataba!
Nimekupa namba ya wahindi hao wanauza hizo brand nyingine zisizo za kichina, cheki nao. Wanaitwa BRAND TYRE SHOPPE
Hapo sasa ni kuagiza Kenya au Dubai tuMkuu, nimewacheki leo hao Brand Tyre Shoppe. Hawana hii tyre nayohitaji (size 185/65/15). Wanasema Goodyear imekuwa adimu Tanzania.
Kwa nini wasiuze?Yaani SuperDoll wauze Goodyear tyres?!!
Una uhakika? ama unahisi?
Now wana products hadi za mchina mkuuNadhani wao wamejikita pekee kwenye brand ya Michelin na BFGoodrich.
Umefika Jubilee tyres, Njiro Arusha ?Wakuu,
Wapi hapa nchini zinapatikana tyre za GOODYEAR, size: 185/65/15 EFFICIENT GRIP PERFORMANCE?
Nimeulizia sana kwa Dar, Mwanza, Arusha, Moshi, kote hakuna!
Si AUTOXPRESS TZ wala AUTOMECHANIX TZ... wote wanasema hawana Goodyear.
Mwenye uhakika wa zilipo hizo tyre, naomba kufahamu.