Tyre "Goodyear 185/65/15 effient grip performance" zinapatikana wapi hapa Tanzania?

Yep, out of stock!

Pole, kama hapo umekosa mtihani kidogo.

Niliinunua hapo Goodyear December 2023. Kwa size ya tyre zangu bei ya tyre moja ilikua 387,000 Kwa mchanganuo ufuatao, tyre 365,000, valves 2,000, wheel alignment/balance 10,000 na warranty kama 10,000 ila unapewa wese la 60k (voucher unaenda kuwekewa petrol station za Engen)

Screenshot_2024-10-11-22-02-14-95_6012fa4d4ddec268fc5c7112cbb265e7.jpg
 
Dunlop ya dukani ni laini sana af threads zake zinawahi kuisha.

Dunlop ni kama mchina anazifyatua. Kuna hizi Dunlop by Sumitomo (eti ni South Africa) ni fekero kabisa. Kwenye sidewall wameweka manufacture year pekee, details zingine i.e Load index; Speed rating, temperature rating, hakuna! 😀
 
Pole, kama hapo umekosa mtihani kidogo.

Niliinunua hapo Goodyear December 2023. Kwa size ya tyre zangu bei ya tyre moja ilikua 387,000 Kwa mchanganuo ufuatao, tyre 365,000, valves 2,000, wheel alignment/balance 10,000 na warranty kama 10,000 ila unapewa wese la 60k (voucher unaenda kuwekewa petrol station za Engen)

View attachment 3122326

Hiyo ni AutoXpress ya maeneo gani?
 
Dunlop ni kama mchina anazifyatua. Kuna hizi Dunlop by Sumitomo (eti ni South Africa) ni fekero kabisa. Kwenye sidewall wameweka manufacture year pekee, details zingine i.e Load index; Speed rating, temperature rating, hakuna! 😀
Hahaha hizo za ki south ni mtori, nilishawahi tumia ila ndani ya mwaka inakuwa imeisha kabisa.
 
Masaki, lakini kama wamesema out of stock inamaana hawana kwenye vituo vyao vyote. Makao makuu yapo barabara ya kuelekea Uwanja wa Ndege kama sikosei.

Yes mkuu. Nami ndo hicho nilichogundua, kwamba kwenye website kama product inaonesha 'out of stock' basi ni branches zao zote hawana hiyo bidhaa.
 
Ni lazima iwe Goodyear? Hawana aina nyingine unayoweza kutumia kama mbadala?

Ofisi za wale Goodyear nao hawana kwenye stock Yao? Au uhitaji ni Mdogo sana?
 
Kwakweli nilishatumia tyre aina nyingi sana (hizi midrange brands), Ila nilipohamia Goodyear nilipata experience tofauti kabisa ya kurizisha. Sitamani kuishi nje ya Goodyear. Ni mtu wa safari ndefu mara kwa mara... 900+ KM twice a month.

Ofisi za GOODYEAR Tz naona zipo Masaki DAR (by Google). Lakini hawajaweka contact yoyote ya kuwasiliana nao. So inalazimu mtu aende physically, nami niko nje ya Dar.
 
Uko sahihi. Mie tokea nimeweka mwaka Jana, nimeenda Singida, nikaenda Kilimanjaro, nikarudi Tena Mwanza, achilia mbali hizi route za Moro.

Na bado zipo kwenye warranty, service free kama ni puncture au wanaweza kukubadilishia kama uharibifu ni Mkubwa ( unalipia ziada ya 10,000/- kama insurance). Tyre zao ziko vizuri sana.

Jamaa wengine niliofikiri watakua nazo naona hawana Goodyear.

Ntajaribu kupata mawasiliano ya ofisi za Goodyear Dar es salaam nikupatie nikitulia. Ntaziweka hapa hapa
 
Ni kweli ukitaka genuine products agiza mwenyewe nje, hapa tz mchina tu kila kitu

Umepiga kwenye mshono!!

The same product with same specs, but ukicheki online bei za Nairobi ni juu, bei za Dar ni nafuu!

Sasa unabaki unajiuliza Dealers wa bongo wao wananunua wapi bidhaa? au ukwepaji kodi ndo sababu bei zinakuwa nafuu hapa Tz?
 
Kuna wahindi wako Posta / Nkuruma pale maeneo ya LATRA waliniuziaga battery ya AMARON mwaka 2022 wakanipa na warranty ya mwaka 1.
022 211 1125 na 0713308266
 
Attachments

  • IMG_20241013_133023.jpg
    IMG_20241013_133023.jpg
    362.8 KB · Views: 9
Uko sahihi. Mie tokea nimeweka mwaka Jana, nimeenda Singida, nikaenda Kilimanjaro, nikarudi Tena Mwanza, achilia mbali hizi route za Moro.

Na bado zipo kwenye warranty, service free kama ni puncture au wanaweza kukubadilishia kama uharibifu ni Mkubwa ( unalipia ziada ya 10,000/- kama insurance). Tyre zao ziko vizuri sana.

Jamaa wengine niliofikiri watakua nazo naona hawana Goodyear.

Ntajaribu kupata mawasiliano ya ofisi za Goodyear Dar es salaam nikupatie nikitulia. Ntaziweka hapa hapa

Ukipata contact za GOODYEAR Masaki Dar, itakuwa pouwa mkuu.
 
Back
Top Bottom