Tyre "Goodyear 185/65/15 effient grip performance" zinapatikana wapi hapa Tanzania?

Niko mkoani. Nimechecki tyre dealers kadhaa wa k/koo... hawana hiyo brand.

Dunlop niliidrop muda sana , sihitaji kuirudia.

Napendelea sana kuishi na GoodYear.

Jamaa wako vizuri
Screenshot_2024-10-13-15-26-41-51_99c04817c0de5652397fc8b56c3b3817.jpg


Screenshot_2024-10-13-15-25-55-72_99c04817c0de5652397fc8b56c3b3817.jpg
 
Kama unapenda GoodYear agiza nje ya Tanzania!

Kwakweli inanibidi kufanya hivyo.

Na kuna jambo kidogo linafikirisha... nimecheck online bei za Nairobi ni tofauti mno na bei za Dar Tz.

The same brand with same specs i.e GoodYear 185/65/15 EFFICIENT GRIP PERFORMANCE, kwa Nairobi bei inarange kwenye 12,000 hadi 13,000 KSH (ambayo ni 230,000 hadi 270,000 TSH).

Lakini hapa Tz (Dar, Moshi, Arusha, Mwanza) tyre hiyo hiyo huuzwa 180,000 hadi 190,000 TSH.

Sasa inashangaza huo unafuu wa bei hizi tyre hapa Tz unlike other East Africa markets, je ni ufeki wa bidhaa? ama ni ukwepaji wa kodi kwa dealers wa bongo ndo maana wanauza bei nafuu?
 
Nimekupa namba ya wahindi hao wanauza hizo brand nyingine zisizo za kichina, cheki nao. Wanaitwa BRAND TYRE SHOPPE

Mkuu, nimewacheki leo hao Brand Tyre Shoppe. Hawana hii tyre nayohitaji (size 185/65/15). Wanasema Goodyear imekuwa adimu Tanzania.
 
Wakuu,

Wapi hapa nchini zinapatikana tyre za GOODYEAR, size: 185/65/15 EFFICIENT GRIP PERFORMANCE?

Nimeulizia sana kwa Dar, Mwanza, Arusha, Moshi, kote hakuna!

Si AUTOXPRESS TZ wala AUTOMECHANIX TZ... wote wanasema hawana Goodyear.

Mwenye uhakika wa zilipo hizo tyre, naomba kufahamu.
Umefika Jubilee tyres, Njiro Arusha ?
0677750750 wapigie
 
Back
Top Bottom