TTCL kufanya maboresho ya mifumo

Shirika la hovyo sana.nilipoteza card Yao nikataka kuirudisha namba nikakutana na mashariti kibao mara niende polisi na gharama ya kuirudisha nikubwa kuliko kusajili mpya.Niliichukia sana Hilo shirika uchwara Kwa kunikoseshakurudisha upya laini yangu
 
Linaboresha mitambo gani sasa.kwani wanatumia hata miyambo lweli hawa jamaa.
Hivi wqnajihusisha na nini kwanza.
 
Mi naona mashirika yetu yote yanayumbishwa makusudi ili yaonekane yanafanya vibaya ili wayabinafusishwe na kumpa Mwarabu kirahisi mifano ni mwingi tu UDART, TANESCO POSTA NA hii TTCL
 
hili shirika lilitakiwa libinafsishwe tu,najiwazia kampuni ndogo kama Halotel wanapata faida inakuwaje wao wanapata hasara
 
Back
Top Bottom