Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 7,772
- 14,071
Imagine anamjibu hivi Mungu na akampotezea tu.Kaini akajibu kwani mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?
Imagine anamjibu hivi Mungu na akampotezea tu.Kaini akajibu kwani mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?
Ishi nachoNimenote kitu
Mkuu una maswali konk sanaUnataka kusema Shetani alikua zaidi ya Mungu kwamba Shetani alim-double-cross Mungu kwa kufanya urubunifu kwenye uumbaji wake?
Adamu alipoulizwa uko wapi, hakujibu 'si huyu mwanamke uliyenipa'.Hiyo stori bwana inachekesha! Adamu akamjibu Mungu, Si huyu mwanamke uliyenipa amenidanganya nimekula tunda"
🤣🤣
Badala ajibu niko hapa, anamletea Mungu blah blah
Mwanaume yeyote aliyekamilika hajawahi jibu directKaini akajibu kwani mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?
Adamu alipoulizwa uko wapi, hakujibu 'si huyu mwanamke uliyenipa'.Hiyo stori bwana inachekesha! Adamu akamjibu Mungu, Si huyu mwanamke uliyenipa amenidanganya nimekula tunda"
🤣🤣
Badala ajibu niko hapa, anamletea Mungu blah blah
Lazima ujiulize maswali magumu kwenye hili suala sio unarudi tu kwenye point ya kusema ooh Mungu alimuacha mtoto anaetaka kuchezea moto aungue kwanza na huo moto ndio aje kumwambia eeh umeona nilikuambia usichezee moto yaan Mungu kaumba Shetani Malaika wa kushawishi na Mungu alijua kabisa lazima Mwanamke atakamatika kwa Shetani kwanini Mungu hakumpiga biti Shetani kabla Shetani hajaenda kumrubuni yule Mwanamke?Mkuu una maswali konk sana
Achana na utii mkuu, ninachokisema mimi na unachokisema wewe havifanani kwa hio unataka kusema nani ambae hakumtii Mungu? Shetani au Adamu na Hawa? Mungu alishindwaje kumzuia Shetani asimrubuni yule Mwanamke asile lile tunda? Hivi hujiulizi maswali hapo au tayari umekua brain-washed na mafundisho ya kipaimara? Kwamba Adamu na Hawa hawakumtii Mungu hawakumtii Mungu vipi wakati kilichotokea ni mipango ya Mungu mwenyewe? Hivi unanielewa vizuri au ubanielewa juu juu tu?Hoja iko kwenye utii, sio nje ya box kufanya nini huko nje ya box mkuu, Adamu alikosa utii, na sio kwamba it was planned Kama unavyoamini, tena shetani alitegea muda ambao yuko Hawa peke yake, jiulize kwanini shetani hakuenda kwa Adamu? Isaya 1:19, Ukitii utakula mema ya nchi, ukikaidi utaangamia
Kama kweli shetani yupo, na uwezo na nguvu anazotajwa kuwa anazo, basi wewe Hauna uwezo wa kumshinda hata kwa sekunde.uwezo walikuwa nao, kwani sasa hivi shetani sio moto? uwezo ulikuwa ndani yao ila waliamua kumsikiliza ambaye hakuwaweka pale wala kuwapa maagizo yoyote, yaani ni sawa na dada wa kazi anayeshawishiwa na jirani aache kazi kwa Boss wake aliyemtoa kijijini
uhakika na ndivyo ilivyo mpaka leoAlitafuta wa kumwagushia jumba. Adam jau
kwa mwanaume mwenzio hakuna shida kabisainategemea, mbona ni swali la kawaida, utasikia genius man uko wapi tukupe ile million 500 yako chap
Hapo kuna jibu direct? Adamu upo wapi Nimejificha (vema)(Mungu) Akasema: Ni nani aliyekuambia ya kuwa u uchi? Je! Umekula wewe matunda ya mti niliyokuagiza usiyale?
Adamu akasema: Huyo mwanamke uliyenipa awe pamoja nami ndiye aliyenipa matunda ya mti huo, nikala.
labda twende hoja kwa hoja, ueleze huo mpango wa Mungu uliopelekea Adamu akashawishika, na ueleze ni kwa namna gani kutokuwa na utii kwa Adamu kungefanya amzuie shetani?Achana na utii mkuu, ninachokisema mimi na unachokisema wewe havifanani kwa hio unataka kusema nani ambae hakumtii Mungu? Shetani au Adamu na Hawa? Mungu alishindwaje kumzuia Shetani asimrubuni yule Mwanamke asile lile tunda? Hivi hujiulizi maswali hapo au tayari umekua brain-washed na mafundisho ya kipaimara? Kwamba Adamu na Hawa hawakumtii Mungu hawakumtii Mungu vipi wakati kilichotokea ni mipango ya Mungu mwenyewe? Hivi unanielewa vizuri au ubanielewa juu juu tu?
Ni kweli wewe kama wewe huna uwezo hata robo wa kumshinda, lakini tunashinda yote katika yeye atupaye nguvu, nguvu za kumshinda zinatoka kwa Mungu mwenyewe na hizo nguvu ni pale unapokuwa mtii katika yale umekatazwa na MunguKama kweli shetani yupo, na uwezo na nguvu anazotajwa kuwa anazo, basi wewe Hauna uwezo wa kumshinda hata kwa sekunde.
Unaona hilo swali la kimtego inamaana Mungu alikua anajua kila kitu maana yeye ndiye mpangaji wa kila kitu kila kilichopo na kilichotokea kilipangwa na yeye mwenyewe Adamu na Hawa wala hawakujua mipango ya Mungu kumbe Mungu alikua amepanga kuwatimua kwa kumtumia Shetani km Chambo ila kila kilichokua kinaendelea alikua anaona lab rat wanavyofanya anawachora tu kashajua huyu panya akipita hata atatokea pale ataenda pale nikimtoa hapa nitamuweka pale umeona hio kitu hapo au bado umefumbwa macho? Mungu mpango mzima alikua anaujua mpaka stage ya kuwatimua itakuaje alikua anajua kila kitu maana alishaandaa kila kitu ukizama deep utaelewa jambo kwamba kila lililotokea lilikua ni mpango wake yeye mwenyewe unakuja kugundua Shetani kasingiziwa yaan Mungu alishindwa kumzuia Shetani pale alikua anamuona au Mungu alienda kwa Mwanamke akiwa kwenye umbo la Shetani? Maswali magumu km hayo unabidi ujiulize kwanza(Mungu) Akasema: Ni nani aliyekuambia ya kuwa u uchi? Je! Umekula wewe matunda ya mti niliyokuagiza usiyale?
Adamu akasema: Huyo mwanamke uliyenipa awe pamoja nami ndiye aliyenipa matunda ya mti huo, nikala.
Majibu huwezi pataLazima ujiulize maswali magumu kwenye hili suala sio unarudi tu kwenye point ya kusema ooh Mungu alimuacha mtoto anaetaka kuchezea moto aungue kwanza na huo moto ndio aje kumwambia eeh umeona nilikuambia usichezee moto yaan Mungu kaumba Shetani Malaika wa kushawishi na Mungu alijua kabisa lazima Mwanamke atakamatika kwa Shetani kwanini Mungu hakumpiga biti Shetani kabla Shetani hajaenda kumrubuni yule Mwanamke?
Wewe unaamini Mungu ni nani au Mungu ni nini kwa mujibu wa vile ulivyofundishwa kwa imani yako?labda twende hoja kwa hoja, ueleze huo mpango wa Mungu uliopelekea Adamu akashawishika, na ueleze ni kwa namna gani kutokuwa na utii kwa Adamu kungefanya amzuie shetani?
Mungu wala Shetani hawapo mkuu.Ni kweli wewe kama wewe huna uwezo hata robo wa kumshinda, lakini tunashinda yote katika yeye atupaye nguvu, nguvu za kumshinda zinatoka kwa Mungu mwenyewe na hizo nguvu ni pale unapokuwa mtii katika yale umekatazwa na Mungu
Sawa siwezi pingana na imani yako mkuuMungu wala Shetani hawapo mkuu.
Mnajilisha upepo tu hakuna cha maana.
Mungu ni muumbaji wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo akiwemo na mwanadamuWewe unaamini Mungu ni nani au Mungu ni nini kwa mujibu wa vile ulivyofundishwa kwa imani yako?