Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,992
- 7,242
Video refu ina double impression . Tangazo linaweza kutokea zaidi ya mara mbili. Hivyo video refu inalipa kuliko video fupiHivi hata hizo bongo series zinapitia mgongo ule ule. Kwa sasa kuna watengeneza films wengi wanaweka series zao YouTube na ukiangalia mahadhi yake unaona kuna investment imetumika kutengeneza. Je inawalipaje?...
Nakumbuka inasemekana urefu wa video unachangia, mfano video ya dakika tatu na film ya dakika 30.. Filamu zinapokea zaidi per view
Lakini pia hata quality ya video na content yake..
Je vigezo hivi vipo sahihi na kama kuna vingine ni vipi mkuu