Nimejaribu kunywa ya MOTO nimeshindwa............!!!!!Kunywa maji
Siku utakapoweza kuwaza kwa mapana zaidMwisho wa dunia ni wapi, Kenya au Alaska?
kwenye mika ya 70 hasa kunako 74 nchi ilipata janga la njaa na nakumbuka ilikua ikiagiza pamoja na kupewa misaada mahindi ya njano (yanga) - haya ndio yaliokoa maisha ya wengi la sivyo ingekua ni maafa. Nakumbuka mwalimu Nyerere akihutubia na kueleza kuwa serikali inatuamia milioni 90 kwa mwezi ambazo ni pesa nyingi wakati huo kuagiza haya mahindi na kuyasambaza kwenye maduka ya serikali National milling ili wananch wapate kununua kwa unafuu na kulisha familia zao na mchicha pori !!
Kwa heading yako inaonyesha njaa imekuwepo nchini tangu zamani si swala la kutangaziana tena,kama hatuijui hatutaijua tena.Najiuliza sipati jibu
Hao wazee waliwahi kuongoza nchi hii kipindi cha Nyuma.
Yaliwahi kutokea matatizo ya njaa,nakumbuka niliwahi kula buruga na ugali wa njano,hawa walikuwa na mashamba ya kutusaidia wakati wa njaa?
Kwa hiyo tumeachwa tufe?
Hivi chakula ni cha bure au zile kodi zetu ndizo zinanunua?
Serikali haina shamba?hebu rudia tena?
Watanzania "wafwa".Yaani watanzania safari hii tumepatwa
Najiuliza sipati jibu
Hao wazee waliwahi kuongoza nchi hii kipindi cha Nyuma.
Yaliwahi kutokea matatizo ya njaa,nakumbuka niliwahi kula buruga na ugali wa njano,hawa walikuwa na mashamba ya kutusaidia wakati wa njaa?
Kwa hiyo tumeachwa tufe?
Hivi chakula ni cha bure au zile kodi zetu ndizo zinanunua?
Serikali haina shamba?hebu rudia tena?
Ilipinda wapi??'Bora nichukiwe na watu wote lakini Ninyooshe Nchi'- JPM
Kwahiyo unataka kusema serikali haina wajibu na umuhim kwa watu wake?Siku nyingine tuangalie vitu vya kuandikaMsipomfukuza 'Mzee Bure' vichwani mwenu mtamlaumu sana Rais!
Nzi wa kijani chakula chako mavi njaa utaijulia wapiKasema ni jukumu la wananchi na sio serikali .Yabidi tubadilike zile enzi za Mwl Nyerere kuomba omba chakula kwa mataifa tajiri zimepita,Magu aishasema kila mtu atabeba msalaba wake.NO MORE FREE LUNCH,Ndio kujitegemea ,uhuru na kilimo cha umwagiliaji.
Kwahiyo wakina mzee nyerere nao ni mzee bure asante sana mkuu kwakuniambiaMsipomfukuza 'Mzee Bure' vichwani mwenu mtamlaumu sana Rais!