DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,628
Tanzania imepata shida zaidi ya njaa
Wakati mwingine pamoja na Tume kutokuwa huru, wananchi kukomaa nako kunasaidia.Wananchi tuliamua siku nyingi tatizo hakuna tume huru ya uchaguzi, ccm wanaiba kura na kupora ushindi kwa kutumia nguvu ya dola
Unasema!!!!!!!!?Na Chanell tulizokuwa tunaangalia bure taarifa za habari wamekwenda Nazo na kuziweka kwenye makoti yao yenye mikono oversize.kudadek twafaaaan.
2020 tupa kule! Hata wapige samasoti jukwaani ni kuwa poteza tuukwa hiyo tufanyaje?
Heri uvivu wa kufanya kazi kuliko uvivu wa kufikiri.'Mzee Bure' bado hajatoka kichwani kwako .
Lakini sio maneno yale ya kuongeaa buanaaaa..Kweli kabisa!
Tusisahau kuwa hata serikali ya viwanda haimaanishi serikali itakuwa na viwanda, akisema limeni anamaanisha tumia kila namna kujitafutia riziki.