iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
- Thread starter
- #21
Pembe la ng'ombe halifichikiHapa kazi tu! Hakuna vya bure wala maneno matamu. Hakuna njaa. Wafanya biashara wamewapa chochote ili mseme kuna njaa wapewe vibali vya kuleta chakula toka nje! Hakuna njaa.
Babu yangu aliwahi kunisimulia hadithi ya ndama ambaye alikuwa anachukia kuonekana kuwa ana pembe. Akaenda akanunua kilemba na akajifunga kichwani na kuwa na amani kwa kuwa hataonekana kuwa ana mapembe. Baba wa ndama yule akamwambia, "kama una pembe au huna muda ukifika kilemba hakitakusetiri! Maana yake kuna njaa au ni janja ya mabepari, time will reveal!