Serikali haina shamba; Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete walisaidia kwenye njaa, walikuwa na shamba?

Pembe la ng'ombe halifichiki
 
Hapo ni sawa na baba kukimbia familia kipindi cha matatizo raisi ni kama baba wa familia sasa baba anapo onesha kushindwa mapema hivyo sijui watoto watakuaje
Sina imani kama anauzoefu wa hiyo unayoiita familia.Hata hivyo sio mbaya watakuja wanaoijua historia Yake ya nyuma kama aliwahi ishi na familia kama baba.
 
Sina imani kama anauzoefu wa hiyo unayoiita familia.Hata hivyo sio mbaya watakuja wanaoijua historia Yake ya nyuma kama aliwahi ishi na familia kama baba.
Aha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!
 
Lisu ni zaidi ya Batallian ya makomandoo wa kirusi ... Mtakatifu lazima akae chini.. hakuna namna tena ...

 
Utapotea ohoooo!!!
 
Mkuu,haya maswali yako yananichochea ili nifanye uchochezi,nimekushtukia aisee,sitaki kuunganishwa na yale magazeti mawili yanayoongoza kwa kuchochea raia.
 
Tukumbuke Mtume Yusuf au Josef
Kayika mji aliokuwepo ilitabiriwa njaa na yeye ndiye aliyepewa dhamana ya kuweka akiba ya chakula na hatimaye njaa ilipokuja walianza kugawa chakula bure kwa waathirika.

leo kweli Tanzania tuna shindwa kutabiri kama tutapata ukame na serikali ikafanya mikakati ya pamoja kuweza kuzalisha chakula kingi na kuhifadhi.
Mtu mmoja mmoja kuhifadhi chakula watashindwa sababu mbinu za kuhifadhi hazipo.

Serikali ndiyo dhamana kama hawawezi basi waseme na washirikiane na wengine.
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…