Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,088
- 69,631
wachache sanaaa
Huyu sio yeye ni uongo.Saizi huyu ni Senegal president na yeye ni first Lady....😊
Babu kuna ule uzi wa dada mmoja humu analalamika kuachwa baada ya mwanaume wake kutoboa, umesoma comments za wanaume mule?Msichana gani wa kisasa ambaye ataweza kuvumilia Kulala njaa wakati Kuna Mwanaume pembeni anaweza kumpa 30k ya kula just Kwa usiku Mmoja.
Ama msichana gani ataweza kuvumilia aendelee kunuka kipori pori wakati Kuna Mwanaume pembeni anaweza kumpeleka Saluni na kumnunulia perfume ya 100k ili kumfanya anukie vizuri
Kwa Dunia ya sasa itakuwa ni 10 Kwa mmoja 🙌
Umeniita babu?Msichana gani wa kisasa ambaye ataweza kuvumilia Kulala njaa wakati Kuna Mwanaume pembeni anaweza kumpa 30k ya kula just Kwa usiku Mmoja.
Ama msichana gani ataweza kuvumilia aendelee kunuka kipori pori wakati Kuna Mwanaume pembeni anaweza kumpeleka Saluni na kumnunulia perfume ya 100k ili kumfanya anukie vizuri
Kwa Dunia ya sasa itakuwa ni 10 Kwa mmoja 🙌
Nadhani ni msemo tu ila haimaanishi kwamba wewe ni babu.. vionjo katika lugha kunogesha mazungumzo..Umeniita babu?
Namtakia maisha mema katika uongozi wake huko senegar
Can you confirm??
Jirani....Babu kuna ule uzi wa dada mmoja humu analalamika kuachwa baada ya mwanaume wake kutoboa, umesoma comments za wanaume mule?
Wasichana wa hivi wapo wengi tu, lakini mwisho wa siku wanaishia kuachwa Wanaume wanaenda kutafuta type zao.
Ningekujibu lakini, ngoja nione namna nzuri ya kukomentiView attachment 2947422
Unatumaje taarifa unashindwa hata kuithibitisha? Huyu ndo raisi wa Senegal, acha kufoward bila kuverify
Kichwa kikubwa akili huna, unapost vitu fakeroJirani....
It's a matter of
Ningekujibu lakini, ngoja nione namna nzuri ya kukomenti