Mwanaume akikuambia, kuna mchongo naskilizia muwe mnaelewa

Attachments

  • Screenshot_20240328_180827_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20240328_180827_WhatsApp.jpg
    544.1 KB · Views: 1
  • IMG-20240328-WA0033.jpg
    IMG-20240328-WA0033.jpg
    97.2 KB · Views: 1
Nianze kufatilia international news kwa ukaribu hata nlikua smjui mwamba dunia inanipita nashupalia tu nyuz za ombaomba mara usaliti khaa majamaa dunia inaenda tuu!
 
Babu kuna ule uzi wa dada mmoja humu analalamika kuachwa baada ya mwanaume wake kutoboa, umesoma comments za wanaume mule?

Wasichana wa hivi wapo wengi tu, lakini mwisho wa siku wanaishia kuachwa Wanaume wanaenda kutafuta type zao.
Sijausoma Mjukuu

Ukinitag nitafurahi kwenda kuipitia

Binafsi namheshimu sana Mwanamke wa hivyo, najua amevumilia mengi kwaajili yangu.

Mwanamke wa hivyo, kumlipa kwake ni kuendelea kumpenda zaidi, na sio kumwonesha dharau na kejeli baada ya kufanikiwa.

Nahisi ukiona umempoteza Mwanamke aliyekuvumilia Kwa shida na Raha, basi itakuwa vigumu sana kupata Mwanamke mwingine wa kukupenda Kwa dhati.

Utaishia kupata golddiggers ambao kwao watakupenda kwasababu ya hela tu, Siku zikikata ndiyo mahusiano yenu yatakuwa yamefika tamati.
 
Back
Top Bottom