Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,827
4,652
Hello hello..

I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi)

Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe:D") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so walipeana namba kwa madhumuni ya kuwasiliana kikazi. Kilichotokea ni kwamba kuna cheche zinaruka kati yao wakiwasiliana.

Rafiki yangu amemtamani huyu jamaa na anahisi jamaa kamuelewa pia sababu muda wote yeye (kijana) ndo anaanzisha maongezi lakini he keeps it very decent; anamjulia tu hali, anamuuliza issue za kazi za hapa na pale, akiweka WhatsApp status atamsifia lakini ile ya ki-kaka nothing flirty or romantic.

Sasa, afanye nini ili kijana amtongoze? Ofcourse sio lazima kuwa na longterm relationship naye wala nini anataka wakulane tu lakini asingependa kumuanza mwenyewe asije kumuona kicheche.
 
Hello hello..

I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi)

Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe:D") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so walipeana namba kwa madhumuni ya kuwasiliana kikazi. Kilichotokea ni kwamba kuna cheche zinaruka kati yao wakiwasiliana. Rafiki yangu amemtamani huyu jamaa na anahisi jamaa kamuelewa pia sababu muda wote yeye (kijana) ndo anaanzisha maongezi lakini he keeps it very decent; anamjulia tu hali, anamuuliza issue za kazi za hapa na pale, akiweka WhatsApp status atamsifia lakini ile ya ki-kaka nothing flirty or romantic.

Sasa, afanye nini ili kijana amtongoze? Ofcourse sio lazima kuwa na longterm relationship naye wala nini anataka wakulane tu lakini asingependa kumuanza mwenyewe asije kumuona kicheche.
Mawasiliano
Awasliane nae mara nyingi zaidi huku akimuulizia vitu sensitive
Mawasiliano yao yawe ya usiku mara nyingi
(Mm nikiona mdada anawasiliana na mm mara nyingi zaidi, it means she has no one...na hyo inanipa chance ya kumtongoza. It happened to me twice, na hata haikuwa ngumu)
Zawadi + outing
Ampatie zawadi sensitive kama boksa, mkanda, vest...huku akichombeza Kwan maneno, I wish to see ilivyokutoa
Hapo hata DeepPond atafikiria kuongeza mchepuko mwingine tofauti na mama J

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom