Zurie
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 1,848
- 4,733
Hello hello..
I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi)
Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so walipeana namba kwa madhumuni ya kuwasiliana kikazi. Kilichotokea ni kwamba kuna cheche zinaruka kati yao wakiwasiliana.
Rafiki yangu amemtamani huyu jamaa na anahisi jamaa kamuelewa pia sababu muda wote yeye (kijana) ndo anaanzisha maongezi lakini he keeps it very decent; anamjulia tu hali, anamuuliza issue za kazi za hapa na pale, akiweka WhatsApp status atamsifia lakini ile ya ki-kaka nothing flirty or romantic.
Sasa, afanye nini ili kijana amtongoze? Ofcourse sio lazima kuwa na longterm relationship naye wala nini anataka wakulane tu lakini asingependa kumuanza mwenyewe asije kumuona kicheche.