Nisaidieni kumuelewa huyu mwanaume

Mkanaani

Senior Member
Jul 31, 2021
178
542
Hivi mwanaume unakuwaje hueleweki, ulikua na crush na mdada wa watu mwaka mzima mkavunja ukimya mkawa kwenye mahusiano.

Badae unaanza kubadilika unapunguza mapenzi, mwenzio anakuuliza kwanini unabadilika, unadai unaogopa udate naye hata miaka mitatu alafu usimuoe, na mtu hata hajakuambia anashida na ndoa na wewe ni upendo tu na kutaka kuwa na mahusiano nawewe, anakuuliza basi akupe space maybe utampenda badae ukasema huwezi.

Basi mtoto wa watu akaona ajiweke pembeni mapema japo inauma, sasa cha ajabu kila anavojiweka mbali unamwambia kakukasirikia, na hapo hapo akikuambia anakupenda unamjijibu acha hizo.

Sasa huyu mtu nimuweke kundi gani jamani, nilishampotezeaga mwezi mzima na namba nikafuta cha ajabu ye ndo akarudi na gia ya umemaliza kuninunia Nikasema heee kumbe nilinuna.
 
Wanawake ni snichers sio wa kuamini haraka, akikuambia I miss u muuliza umemiss kipi hasa kutoka kwangu mimi au wallet yangu......hakuna love hapo bongo ni wizi mtupu nakupoteza mda., kwahyo wewe unamisiwaga kisa hela tu sio?
Aiseeee!
Wanawake ni snichers sio wa kuamini haraka, akikuambia I miss u muuliza umemiss kipi hasa kutoka kwangu mimi au wallet yangu......hakuna love hapo bongo ni wizi mtupu nakupoteza mda.
Kwahyo we unamisiwaga kisa hela tu Covax?
 
Eidha ni mtoto mwenzio, below 25 yrs au hana hela, kitandani ni butu, au hajawahi kua na pisi kali kama wewe au vyote.

Hivyo hajiamini anahisi anachapiwa, anahisi una wanaume wengi wa kukupa ambavyo yeye hana.

Kua na mahusiano na mtu asiejiamini ni kazi sana, kila mda anahisi unamcheat.

Pole sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom