Wanaume Tusijiaibishe: Eti kuna mchongo unausikilizia hebu toa Pesa

Boss la DP World

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
1,994
7,553
Hivi unajisikiaje kumtumia mtoto wa watu siku nzima halafu unashindwa hata kumpa hela kidogo hata laki 2 tu ya nauli inakushinda? Akikuomba masikini unamjibu eti kuna mchongo unasikilizia. Hii inatuaibisha jamani.

Kwanza inakuwaje mpaka inafikia unaombwa pesa? Hujui kuwa wewe ni mwanaume na ulipaswa kumpa kabla hata hujaombwa? Kama hukuwa tayari kuanza mahusiano si ungetulia tu?

Poleni sana wadada kwa mnayo pitia. Wanaume hebu tujisikie fahari kuhonga mtoto anukie noti mpaka mtu akitaka kumsogelea anajiuliza mara mbili mbili. Tabia za kusikilizia michongo isiyotiki tuwaachie watoto wadogo.
 
Nauli laki 2, anapanda ndege kutoka huko alikotoka na ikiwa wote mpo mkoa mmoja?

Kukutana kimwili ni starehe yetu sote. Kama vile anapohisi katumiwa basi yeye anamtumia mwanaume vile vile maana kama ni mikito basi mwanaume anatumia nguvu zaidi.

Ikiwa kila mnapokutana inabidi alipwe basi huyo sio mpenzi wako. Ni mfanyabiashara ambae pasipokuwa na kujamiiana hapaswi kupewa pesa.

Wanadai wanataka haki sawa, huo usawa uwe mpaka kwenye kujihudumia na kuhudumia wapenzi wao pia.
Demu anatarajia birthday yake umpe iphone14, birthday yako anakupa boxer na vest kwa pesa aliyokuomba wewe mwenyewe.
 
Wale ni maua mkuu, ukimhonga utakula mema ya nchi
Maua yenye miba. Elewa unapohonga laki 2 kuna mambo 2 aidha kuna msela anapewa bure ama kuna mwingine anatoa zaidi yako.

Kikubwa utoe kadri unavyohisi anastahili sio kujivunja mgongo kumpa kila kiasi anachotaka.
Investment yako inapaswa ishabihiane na return unayopata toka kwake.

Kuna jitu lina kazi ya kukupiga vizinga tu lakini mbwinya unapimiwa kichoyo. Sasa kama huyo hupaswi kumpa chochote anachoomba mpaka atoe mzigo.
Na kuna yule anakupa mpaka unakianai, huyo hupaswi kumfanyia hiyana. Akihitaji na unacho unampa.
 
We jamaa ukapimwe akili, kwanza utakuta huna hata hela hapo ulipo, kujitutumua tu ili mademu wa JF wakuone eti una hela
 
Toa pesa ufaidi, kuna ka mchezo kao fulani anaifinyia ndani, haya na mengine mengi huwezi pata ikiwa ana stress.
Kwa elfu 20 tu ukiingia Telegram unakutana na wataalam sio kukufinyia tu wanainyuka kwa ndani kabisa. Na mkimaliza hakuombi pesa ya kusuka wala gas zaidi ya pauni yake tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom