Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,040
- 4,094
Ni muziki ambao umesambaza culture ya kijinga sana.
1. Kuwaendekeza wasikilizahji kudharau shule, Kusifia ujeuri dhini ya walimu utoro, na kuwaaminisha watoto elimu ya mtaani (street smrts za kutoboa kwa shortcuts) ina thamani kuzidi elimu ya shuleni, Wengi wameon shule ni upuuzi na kujikita kwenye michezo na sanaa huku wachache wakifanikiwa na wengi wakirudi mitaani bila vyeti hata vya sekondari matokeo yake huanza kuuza madawa, Hii imechngia wamarekani weusi wengi kushindwa kusoma na kuandika, Tatizo sio shule bali ni mindset, Mchezaji wa mpira wa kikapu Lebron James alianzisha shule ya mabilioni kusomesha bure wamarekani weusi yni msosi fresh, mzingira safi, vitabu, internet, n.k. lakini miaka mitatu mfululio hakuna mwanafunzi mweusi kaweza kupita mtihani wa hesabu wa shule ya msingi.
2. Huchochea visasi, Wamarekani weusi wanauana wao kwa wao mara nane zaidi kuzidi wanavyouwawa na mapolisi (wao husema revenge is the sweetest think mext ti puzeey)
3. Kuchochea mmonyoko wa maadili, imekuwa kawaida wasanii kuvaa milegezo, kuona ni fahari kulala na wake za watu wengine.
4. Kushusha thamani ya mwanamke kuwa ni chombo cha starehe, sio hivyo tu huwaita wanawake ni bitches (mbwa jike)
5. Kupelekea uhalifu zaidi, misemo kama sniches get stitches inatishia watu wataoripoti uhalifu kushushiwa vipigo vizito wakigundulika, My Ride or die ni kumsifia mwananamke kuwa wife material kwasababu mnahaso nae kwa kufanya uhalifua na yupo loyal hawezi kukusnich, haya mambo yote yamechochea sana jamii ya wamarekani weusi kuwa na uhalifu uliokothiri
6. Kusifia matumizi ya madawa ya kulevya kumefanya wamarekani weusi wengi kuwa watumiaji na kuangukia kwenye uteja
7. Kutukuza Pesa na mali kama Mungu, Kushinikiza kupata pesa kwa namna yoyote ile hata kwa kuua ama kuuza nafsi yako kwa kudhalilika, kuwatusi na Kuwashusha thamani wasio na pesa kwa lugha chafu kama kuwaita broke a** niggers.