African businesses
Member
- Feb 13, 2024
- 12
- 31
Kitu ambacho akijui ni kua hadi Leo kuna mainstream artist na underground artist , wale underground still wanafata bado misingi ya hip hop na wapo wengi tu kwahiyo ni hiari yako kuchagua umusikiliza naninamna hiyo. ulichoandika nimekiandika kwa sentensi moja post #16.
na zaidi mleta mada ameakisi hii modern hip hop ambayo ni takataka inayozidi kuharibu akili hata kidogo aliyonayo mtu mweusi na kuzidi kuwa manyanya masalo.
Halafu kitu cha kufikirisha eti anasema watu waache kusikiliza hip hop eti kisa watapotea, sasa swali la kujiuliza vipi hawa bongo fleva wanaoimba matusi kila wimbo wao ndio tuwasikilize