Hiyo ripot iko hapa ndugu rweye, jaribu kupitia post za nyuma kidogoKuna taharifa imewekwa kupitia kwa bukobablog kuhusu hatua za miradi hii, zinatia moyo ila kuna haja ya kujaribu kupush sana haya mambo vinginevyo viongozi wetu siyo wepesi sana kwakweli
AsanteHiyo ripot iko hapa ndugu rweye, jaribu kupitia post za nyuma kidogo
Na hiki ndo kitu wasichokijua hawa jamaa, kuwa tayari kushirikisha wenzao. Mikutano haipo as if ana woga wa kuongea, meli hajawai kuulizia bungeni na hakuna kitu kinachojulikana kwa wananchi kuhusu kuja na kutokuja kwa meli. Huyu mbunge akiwa hapo manispaa alitakiwa kuwa kioo kwa wenzie ila na yeye amekaa kulala lala kama wenzie wa CCMhamna ki2 kizuri kama kushirikiana.kama sugu anavyofanya na wananchi wake kule mbeya.baath hata hata ya barabara hakutemea serikal bali kati ya wananchi na mbunge wao sugu.nimeona nzega wameshaanza miradi yao waliokubariana na tushirikiane jamiiForums.labda najiuliza wa2 hawana huchungu na maendeleo ya bukoba au?kama wangekuwa na uchungu wa maendeleo wangeshilikiana hata na mataifa ya nje kama serikali ya bukoba cz huwez fanya kazi wenyewe tena na siasa ya Tanzania ilivyo mbunge wetu seek donation overseas. Fikiria outside the box.
Ukijifunza kitu positive naomba unitaarifu.Safi, tunasubiria kujifunza kutoka Jimbo la Bukoba mjini...
Huyu Lwakatare alikuwa na mipango kama hii 2000-2005 alipokuwa CUF. Hakuna chochote alichofanya. Ngoja tuone safari hii na sisi bado tuna kumbukumbu.Tatizo la nyie watani wangu, mna mbwembwe na mipango miiiiingi sana, mwisho wa siku hamna kitu.
Muoneni mwenzenu Malinzi hadi anagombea uenyekiti wa mkoa wakati ana uenyekiti wa kitaifa, ambao unamtoa jasho - sifahamu anataka kujifunza mchangani.
Halafu hivyo vitu sijui ahadi za kufuatilia hapo/ vipau mbele mlivyoweka hapo naona ni vya kitoto sana, ambavyo mhaya mmoja tu angevishughulia na nyie mngebaki mnashughulikia mambo mazito.
Haya reserved.
Wahaya mambo mengi sana kuliko vitendo, wanatunyima sana raha huku uswahilini ila kwao ni maneno tuHuyu Lwakatare alikuwa na mipango kama hii 2000-2005 alipokuwa CUF. Hakuna chochote alichofanya. Ngoja tuone safari hii na sisi bado tuna kumbukumbu.
DuhMvua ya Senene Saa Hii Saa Hii Hamugembe
Siku moja niliku pm ila naamini uliona meseji hiyo japo haukunifeed back.UTEKELEZAJI WA VIPAUMBELE VYA TUSHIRIKISHANE NA CHANGAMOTO YA SOKO - BUHEMBE