Kagondo
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 296
- 79
Tungependa labda short terms for that DIRA,,,,BAADHI YA MAFANIKIO YA MRADI WA TUSHIRIKISHANE
Msingi wa mradi huu ni Ushirikishwaji wa wananchi katika shughuli za maendeleo ya Bukoba yao kama jina la mradi linavyosadifu. Hivyo pamoja na vipaumbele vyetu vinne (rejea taarifa za nyuma) ambavyo tulikubaliana kutekeleza kwa pamoja, msisitizo hasa wa mradi uko katika UTOAJI na UPATIKANAJI wa taarifa kwa wananchi ili waweze kufahamu kinachoendelea na kushiriki katika hatua zote za maendeleo.
Tumefurahi na tunampongeza Mbunge Wilfred Lwakatare kwa kuanza kulifanyia kazi swala hili mtambuka. Tunasisitiza Halmashauri pia kufuata nyayo zake. Wito huu wa kutoa taarifa pia uwafikie wadau mbali mbali wa maendeleao ya Bukoba.
Wananchi pia wanapaswa kufatilia, kuhoji na kushiriki kikamilifu kwamaana maendeleo hayataletwa na viongozi tu
Tuzione then ndo tuone hiyo long term ya 2025 inafikiwaje au ninaenda kinyume?
Madam Happines tujuze plz michakato inaendaje?