Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,384
- 7,825
nlikuwa nakuwekea mavi ili unywe upate kipindupindu! uende hospitali mganga mkuu atimuliwe! umefurah? akili za ki nyumbu nyumbu tuWEWE MPAKA ANAWEKA KINYESI ULIKUWA WAPI
nlikuwa nakuwekea mavi ili unywe upate kipindupindu! uende hospitali mganga mkuu atimuliwe! umefurah? akili za ki nyumbu nyumbu tuWEWE MPAKA ANAWEKA KINYESI ULIKUWA WAPI
Hapo mganga mkuu ni kumuonea tu.kupambana na cholera is not a joke especially km wilaya haina maji safi na salama ya uhakika! hii cycle ya cholera itaendelea tu miaka na miaka km nchi nzima haitakuwa na maji safi na salama!
Singida mjini maji ya kumwaga.kupambana na cholera is not a joke especially km wilaya haina maji safi na salama ya uhakika! hii cycle ya cholera itaendelea tu miaka na miaka km nchi nzima haitakuwa na maji safi na salama!
Kosa la Dr. nikutotoa taatifa mkoani mbona mnakwepa kudiskasi hiliHapo mganga mkuu ni kumuonea tu.
Angalau basi wangemhoji bwana afya,
Politics versus ProfessionalismMkuu wa Nchi alikuwepo Singida wakati amri ikitekelezwa!!
Mganga mkuu na bwana afya nani mwenye ilo jukumu la kusimamia usafi.....?Msimu wa sikukuu za Chistmass na mwaka mpya umekuwa mbaya kwa Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Singida baada ya kuwekwa ndani na kushikiliwa na Jeshi la Police baada ya wananchi wa halmashauri hiyo kuugua ugonjwa wa kipundupindu.
Akitoa taarifa ya hali ya kipundupindu kwa Mh. Mkuu wa Mkoa; Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida alisema Daktari huyo wa wilaya hajawajibika ipasavyo katika kupambana na kipindupindu hivyo ugonjwa huo kuenea kwa kasi, baada ya kauli hiyo ndipo Mkuu wa Mkoa akatoa amri halali ya kumuweka ndani Mganga Mkuu wa Wilaya ili iwe funzo kwa watendaji wabovu.
My take; Kasi hii ikiendelea hivi hata kwa magonjwa kama ya UKIMWI kwa madakatri wa wilaya na mikoa kuwekwa ndani pindi maambukizi ya UKIMWI yanapoongezeka inaweza kusaidia kupunguza kasi ya maambukizi.
Hayo yote yanafanywa na watu ambao hawana upeo wowote ule wa fikra na mawazo ,wanao amini kuwa nguvu ndio njia sahih ya kutatua tatizo kuliko akili, huu ni ujinga ilio kithiri na sijui kwa nini watanzania tumenyimwa akili na maarifa kiasi hiki, sasa mganga mkuu na swala la maambukizi ya ukimwi vinahusiana nini ndugu yangu wewe ?? Au ukimwi unaambukizwa kwa njia ya kukusanya uchafu na kutofanya usafi??mbona semina za maambukizi zinafanywa kila sikusiku!Msimu wa sikukuu za Chistmass na mwaka mpya umekuwa mbaya kwa Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Singida baada ya kuwekwa ndani na kushikiliwa na Jeshi la Police baada ya wananchi wa halmashauri hiyo, sasa kuugua ugonjwa wa kipundupindu.
Akitoa taarifa ya hali ya kipundupindu kwa Mh. Mkuu wa Mkoa; Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida alisema Daktari huyo wa wilaya hajawajibika ipasavyo katika kupambana na kipindupindu hivyo ugonjwa huo kuenea kwa kasi, baada ya kauli hiyo ndipo Mkuu wa Mkoa akatoa amri halali ya kumuweka ndani Mganga Mkuu wa Wilaya ili iwe funzo kwa watendaji wabovu.
My take; Kasi hii ikiendelea hivi hata kwa magonjwa kama ya UKIMWI kwa madakatri wa wilaya na mikoa kuwekwa ndani pindi maambukizi ya UKIMWI yanapoongezeka inaweza kusaidia kupunguza kasi ya maambukizi.
Akili yako ni RetiredMtoa mada, eti wakiwekwa ndani RMos, DMos, magonjwa hata ukimwi yatapungua THIS IS NONSENSE
WeHayo yote yanafanywa na watu ambao hawana upeo wowote ule wa fikra na mawazo ,wanao amini kuwa nguvu ndio njia sahih ya kutatua tatizo kuliko akili, huu ni ujinga ilio kithiri na sijui kwa nini watanzania tumenyimwa akili na maarifa kiasi hiki, sasa mganga mkuu na swala la maambukizi ya ukimwi vinahusiana nini ndugu yangu wewe ?? Au ukimwi unaambukizwa kwa njia ya kukusanya uchafu na kutofanya usafi??mbona semina za maambukizi zinafanywa kila sikusiku!
Wataweka ndani watu wangapi mbona majambazi kila siku yanafanya ujambazi na hatuoni ma RPC na OCD wakiwekwa ndani?? Na mbona ajali kila siku zinatokea na hatuoni ma trafic na veco wakiwekwa ndani?? Hawa wanasiasa alio tuwekea huyu mheshimiwa wanaharibu kabisa kabisa hawa nimeumia sana kwakweli wanasiasa kushindwa kuelewa mipaka yao na kudhani kutoa amri ya kuweka ndani pekee ndio njia ya kuwajibika.
we nawe ni mjinga kwakweli hilo ni jukumu la nani au wewe ni kama mkia wa mbwa unafuata mwenye nao?Singida mjini maji ya kumwaga.
Walizoea kukaa ofisini kupigwa na viyoyozi.
Mganga mkuu anatakiwa awe site kila siku,akiona tu viashiria anachukua tahadhari