Mganga Mkuu wa wilaya ya Singida awekwa mahabusu baada ya wananchi kuugua kipindupindu

Waziri wa Afya apiga marufuku ma RC na ma DC kuwa weka ndani watumishi wa Afya
Nilimuona Dada Ummy akizungumza na pia RC Nchimbi akaonyesha msimamo wake wa kuwaweka ndani watumishi wa afya. Kwa ujumla maagizo ya Mama Samia bado yana mashiko kwa Ma RC na Ma DC, wasitumie vibaya mamlaka waliyopewa!
 
Mama Samia ana busara sana Nakumbuka aliwaambia hayo wakati Rais yuko ziarani Rwanda

Ile Sheria wanatumia vibaya ya kuwa weka watu ndani si zaidi ya saa 48.

Hata juzi tena Mh Rais nimesikia akimkumbusha Mkuu wa mkoa wa Lindi kuhusu hiyo sheria alipokuwa anapoongelea kuhusu yule mhindi kandarasi wa kuchimba kisima.
 
Nilimuona Dada Ummy akizungumza na pia RC Nchimbi akaonyesha msimamo wake wa kuwaweka ndani watumishi wa afya. Kwa ujumla maagizo ya Mama Samia bado yana mashiko kwa Ma RC na Ma DC, wasitumie vibaya mamlaka waliyopewa!
Ma rc na madc ni watu wasio na akili..kwa upunguani wao wanadhani kumtia mtu ndani ndio suluhisho la kuonekana wanafanyakazi...sitoshangaa nikisikia asilimia 80 ni wafoji vyeti....yani hawana akili kbsa
 
Back
Top Bottom