Mganga Mkuu wa wilaya ya Singida awekwa mahabusu baada ya wananchi kuugua kipindupindu

Msimu wa Sikukuu za Xmas na mwka mpya umekuwa mbaya kwa Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Singida baada ya kuwekwa ndani na kushikiliwa na Jeshi la Police baada ya wananchi wa halmashauri hiyo kuugua ugonjwa wa kipundupindu.

Akitoa taarifa ya hali ya kipundupindu kwa Mh Mkuu wa Mkoa; Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida alisema Daktari huyo wa wilaya hajawajibika ipasavyo katika kupambana na kipindupindu hivyo ugonjwa huo kuenea kwa kasi, Baada ya kauli hiyo ndipo Mkuu wa Mkoa akatoa amri halali ya kumuweka ndani Mganga Mkuu wa Wilaya ili iwe funzo kwa watendaji wabovu.

My take kasi hii ikiendelea hivi hata kwa magonjwa kama ya ukimwi kwa madakatri wa wilaya na mikoa kuwekwa ndani pindi Maambukizi ya UKIMWI yanapoongezeka inaweza kusaidia kupunguza kasi ya maambukizi
ONLY IN TANZANIA... SIASA NA TAALUMA YA MTU NI VITU VIWILI TOFAUTI.. KIPINDUPINDU HAKIWEZI KUMALIZWA NA DMO PEKE YAKE
 
Msimu wa Sikukuu za Xmas na mwka mpya umekuwa mbaya kwa Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Singida baada ya kuwekwa ndani na kushikiliwa na Jeshi la Police baada ya wananchi wa halmashauri hiyo kuugua ugonjwa wa kipundupindu.

Akitoa taarifa ya hali ya kipundupindu kwa Mh Mkuu wa Mkoa; Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida alisema Daktari huyo wa wilaya hajawajibika ipasavyo katika kupambana na kipindupindu hivyo ugonjwa huo kuenea kwa kasi, Baada ya kauli hiyo ndipo Mkuu wa Mkoa akatoa amri halali ya kumuweka ndani Mganga Mkuu wa Wilaya ili iwe funzo kwa watendaji wabovu.

My take kasi hii ikiendelea hivi hata kwa magonjwa kama ya ukimwi kwa madakatri wa wilaya na mikoa kuwekwa ndani pindi Maambukizi ya UKIMWI yanapoongezeka inaweza kusaidia kupunguza kasi ya maambukizi
wateule wengi Wa awamu hii ni weupe vichwani ndio maana wanatimia mabavu na vitisho badara ya hekima na busara
 
Yeye anahusikaje na kuenea kwa kipindu pindu mtaani?
Hawa wateule wa rais wanajichanganya sana
 
Sasa mganga mkuu si ndio incharge wa idara?
Kama afisa afya ameweka mikakati ya udhibiti na bosi hakuweka kipaumbele unategemea nini?
Jitafakari

Afisa Afya wa wilaya/mkoa ndie anaetakiwa kushughulikia mambo ya nje. Kazi ya Afisa Afya ni kuhakikisha mazingira ni safi na salama ili kuzuia milipuko ya magonjwa kama kipindupindu.
 
Kwa hiyo huuo dr ndio kawalisha vinyesi na uchafu watu wakaugua????

Mtu mzima anakula vinyesi vyake huko aumwe awekwe ndani dr????
 
kupambana na cholera is not a joke especially km wilaya haina maji safi na salama ya uhakika! hii cycle ya cholera itaendelea tu miaka na miaka km nchi nzima haitakuwa na maji safi na salama!
Labda fungu la mahi safi na salama la h/w alipewa dr
 
Mkoa wenye una historia ya kipindupindu, hapo kaonewa tu.

Kama uchafu umekithiri nani wa kulaumiwa?
Kila jumamosi yeye anafanya kazi gani wakati wa usafi
 
Back
Top Bottom