Kuelekea 2025 Mbunge ashauri Serikali kuajiri vijana wa kujibu 'wapotoshaji' Twitter

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,591
8,801
Akiwa bungeni Dodoma, Ezra Chiwelesa, Mbunge wa Biharamulo ameitaka serikali kuajiri vijana kwa ajili ya kuijibia na kuitetea Serikali pale kunapotokea upotoshaji kwenye mitandao ya kijamii.

Mbunge huyo amedokeza kuwa Serikali mara nyingi imekuwa kimya pale ambapo taarifa zisizo sahihi zikisambaa mitandaoni na kuongeza kuwa ni vyema kwa serikali kutumia mbinu hiyo ili wananchi wajue nini hasa kinafanyika.

 
Mtu wa kwanza kupewa ajira ni Martin Maranja Masese a.k.a Mtikila Field Marshal.

Huyu akiwa upande wa CCM ehehehehee 😅!.
 
ukiona kauli kama hizi basi hatuna viongozi tena....... kiongozi makini hana haja ya kutafuta huruma za watu yeye akifanya kazi yake itamuinua vyema tu
 
Mtu wa kwanza kupewa ajira ni Martin Maranja Masese a.k.a Mtikila Field Marshal.

Huyu akiwa upande wa CCM ehehehehee 😅!.
Huyo Maranja unamuona ana content Kwa Sababu ya upande aliopo.Siku akienda kule kijani atakuwa hana akili ya kujibu hoja yoyote.
 
ukiona kauli kama hizi basi hatuna viongozi tena....... kiongozi makini hana haja ya kutafuta huruma za watu yeye akifanya kazi yake itamuinua vyema tu
Actually viongoz wenye akili hawafiki 5% ya walioko bungeni. the rest ndio akina hawa
 
Back
Top Bottom