Mbunge ashauri Serikali kuajiri vijana wa kujibu 'wapotoshaji' Twitter

Mtu wa kwanza kupewa ajira ni Martin Maranja Masese a.k.a Mtikila Field Marshal.

Huyu akiwa upande wa CCM ehehehehee 😅!.
 
ukiona kauli kama hizi basi hatuna viongozi tena....... kiongozi makini hana haja ya kutafuta huruma za watu yeye akifanya kazi yake itamuinua vyema tu
 
Mtu wa kwanza kupewa ajira ni Martin Maranja Masese a.k.a Mtikila Field Marshal.

Huyu akiwa upande wa CCM ehehehehee 😅!.
Huyo Maranja unamuona ana content Kwa Sababu ya upande aliopo.Siku akienda kule kijani atakuwa hana akili ya kujibu hoja yoyote.
 
ukiona kauli kama hizi basi hatuna viongozi tena....... kiongozi makini hana haja ya kutafuta huruma za watu yeye akifanya kazi yake itamuinua vyema tu
Actually viongoz wenye akili hawafiki 5% ya walioko bungeni. the rest ndio akina hawa
 
Back
Top Bottom