Sheria ya kunyima watu dhamana ni ya kinyama. Ifuftwe.
Wewe umenena. Ni vema pia watu waache kuchekelea mabaya yanayowapata watu. Haijalishi ni makosa makubwa kiasi gani. Hivi mtu unathubutu kabisa kufurahia waziwazi? Kuna dini inayoruhusu haya! tuchukie Maovu sio mtu na hapo ndio unaweza kuwa fair kwenye judgement. MWisho wa yote tusubiri ukweli uelezwe mahakamani