BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Huyo watu washamuachia Mungu ashughulike nae binadamu hatumuweziChenge lini wakuuu?joka la mariyenge
Huyo watu washamuachia Mungu ashughulike nae binadamu hatumuweziChenge lini wakuuu?joka la mariyenge
Duuh aisee, pole sana.Nakumbuka mwaka siutaj wakat nimemaliza chuo...bro alikuwa mfanya biashara mkubwa tu na ni rafik wa herry....alikuja home nikamwambia napenda kaz tra....akaniambia kesho njoo oficin...akanipa barua ya kaz na kwende direct mwanza kuanza kaz.........iko siku yataisha mkuu...yesu yu pamoja nawe
Nyie ndo kina kamlete,utendaji kazini 0.Nakumbuka mwaka siutaj wakat nimemaliza chuo...bro alikuwa mfanya biashara mkubwa tu na ni rafik wa herry....alikuja home nikamwambia napenda kaz tra....akaniambia kesho njoo oficin...akanipa barua ya kaz na kwende direct mwanza kuanza kaz.........iko siku yataisha mkuu...yesu yu pamoja nawe
Huyo watu washamuachia Mungu ashughulike nae binadamu hatumuwezi
Lowasa akamatwe kwa ushahidi gani? Kama una ushahidi nenda kamshitaki acha kulia lia hapa.Wakuu mimi nasubiri tu siku Lowasa akikamatwa maana wote hawa wanaokamatwa ni wanafunzi wa Lowasa kwenye ufisadi kwanini asikamtwe na mwalimu wao.
HahahaTuachie mahakama ipi wakati wewe mwenyewe umeshatoa hukumu mtoa mada kuwa Ni mafisadi lazima yafungwe?
Naona..kisu kimegusa mfupa!mkuu mpiga domo umempendelea huyo inafaa ajiite DOMOKAYA
Mkuu, mfungwa pia ana haki ya kutembelewa kama mahabusu (In Weekends and Public holidays)Jf watu wengine mnanipa hofu kwa uelewa wenu mdogo wa baadhi ya vitu half bila aibu unachangia tu. Iko hivi, hakuna tofauti kati ya jela na mahabusu. Ila kuna tofauti kati ya mfungwa na mahabusu.
Mfungwa keshahukumiwa na anakua jela akitumikia kifungo, huyu mle gerezani huvaa uniform maalum za gereza , hula chakula cha gereza ,hufanya kazi zote atakazopangiwa na maofisa wa gereza na anaeza hata hamishwa gereza moja kwenda jingine. Pia huyu hana access ya kwenda kutembelewa na ndugu.
MAHABUSU. Huyu wanakaa gereza moja na mfungwa, ila yeye atavaa kiraia kadri awezavyo, ndugu watampelekea chakula kila weekend na public holidays, ndugu waeza mwekea bill ya kuletea chakula toka nje kila siku, sheria yamtaka hata kama upelelezi wa kesi yake haujakamilika kila baada ya siku 14 aende mahakaman na kusomewa shtaka.
NDOO. Gerezani ndoo ndio kila kitu, twaeza sema ni zaidi ya trunker boarding school. Ndoo ndio kabati la diary ya mtuhumiwa, nguo, bakuli, ped kwa wanawake na vikoro koro vingne vinavyoruhusiwa kwa mahabusu kua navyo. Pia wakt mwingne mahabusu huzitumia kama viti vya kukalia mchana wawapo nje.
Nakumbuka mwaka siutaj wakat nimemaliza chuo...bro alikuwa mfanya biashara mkubwa tu na ni rafik wa herry....alikuja home nikamwambia napenda kaz tra....akaniambia kesho njoo oficin...akanipa barua ya kaz na kwende direct mwanza kuanza kaz.........iko siku yataisha mkuu...yesu yu pamoja nawe
Kumbe na wao wananyea ndoo kama wengine sema wao wameingia na ndoo zao, mbona nguo zao zinaonekana kama wanabadilisha tofauti na wengine na huyo mwingine kama ameshika tabletMimi nitapeleka shauri kupinga wao kwenda na Ndoo zao, tena Mpya. Kule si kuna ndoo za watu wote kunyea, wao ni akina nani mpaka waende na mpya?