Mahakama ya Kisutu yawanyima dhamana Harry Kitilya, Sioi Sumari na Shose Sinare

zito alisha wahi kusema haya
"Kila mara ninapokaa na Harry Kitilya naona namna ambavyo baadhi ya Watanzania wana moyo wa dhati wa kufanya kazi na kuweka 'legacy' ya kudumu. Wakati Watanzania fulani wanamzodoa, kuna nchi kama Ethiopia zinamwomba kwa kumpigia magoti aende kuongoza Mamlaka yao ya Mapato. Changamoto moja kubwa, TRA inakusanya, matumizi ya fedha hayaonekani kwa wananchi kwani nyingi zinaishia kulipa posho, safari na matumizi ya hovyo. Laiti kama watumiaji wangekuwa na moyo wa dhati kama mkusanyaji Kitilya, tungepiga hatua kubwa sana"
Kumbe naye alikuwa anatetea ufisadi
Labda inawezekana ndugu kamishna kapitiwa mkuu. By the way, Kitilya huyu ni ndugu na Mkumbo Kitilya?
 
Sheria ya kunyima watu dhamana ni ya kinyama. Ifuftwe.
ila kuibia umma pesa ni sawa, si ndio maana yako? yaani uibe utakatishe pesa ujiffanye umewekeza una miradi ujifanye wewe unaakili ya utafutaji halafu uone watu wengine wanaotembea barabarani "wangese tu" wewe ukiwa kwenye kiyoyozi na gari ulilonunua kwa kuwaibia hawa unao waona "wangese", mimi nasema dhamana wasipewe Abadan!
 
ila kuibia umma pesa ni sawa, si ndio maana yako? yaani uibe utakatishe pesa ujiffanye umewekeza una miradi
Kama ameiba kwa nini usimpe hukumu yake kabisa? Kwa nini yuko rumande?

kosa la kutakatisha fedha halina dhamana
Sio kosa la kutakatisha fedha halina dhamana. Sema shutuma za kutakatisha fedha hazina dhamana.

Ndio maana sheria hii ni draconian, ya kikatili. Vipi akishinda keshi, utamrudishia vipi maisha yake aliyopotezea kizuizini?

Nchi za wenzetu kabla hata ya kushtakiwa linakaa baraza la wazee (grand jury) kupitia shutuma na ushahidi ili kuidhinisha kama unastahili hata kushtakiwa (indictment). Hapa kwetu unazolewa zolewa tu unakaa ndani miaka minne kesi inaendelea bila dhamana. Sheria za kinyama.
 
ANHEUSER=acha kutoa mapovu kwa kutetea ujambazi, kama na wewe ni sehemu ya hio corrupt scandal na money laundry tulia, na kama unahisi ni ukatili hamia kwenye nchi zisizo katili sawa eeh! kama unavyosema "kwa wenzetu",tena hao unaowaita wenzetu ndio wameibua huu ujinga na wizi unaokutoa mapovu ya mate na kupaliwa na pombe mnazofurahia kuzinywa mkiwa nao watuhumiwa mnaponda raha kwa hizi hela huku mkiponda system ya nchi haifanyi kazi, kama unaona wanonewa na una uchungu kafungue shaurilingine, ni haki yako kuwatetea, otherwise hukumu huadhia kuwa mtuhumiwa, kuwekwa mahabusu au rumande,then mwisho kuchezea mvua ya miaka jela, anzeni kuhonga mahakimu na majaji kama mfanyavyo, mnavyotuongombea kwa kutakatisha hela za maskini wa nchii hii., eti mmewekeza, PUMBAVUUH!
 
Hebu elezea jinsi unavyoelewa namna huo wizi ulivyofanyika
 
we are not gonna get anywhere here... its a total waste of time.
 
Hebu elezea jinsi unavyoelewa namna huo wizi ulivyofanyika
Hakuna anaeweza kueleza hilo. Hata prosecutors wenyewe hawana clue ya kosa ni nini, watamweka kizuizini mwaka mzima huku wanafanya uchunguzi. Wanabahatisha bahatisha tu kwa sababu wako kwenye nchi ambayo overwhelming majority of the population think it is okay to detain and prosecute suspect for years on end.
 
Steven umesema kweli, post zote unaona ni wivu tu na sio kuwa mtu anaona haki kutendeka au kutaka itendeke. Nauliza swali hawa wanaofurahi wakiwekwa penye uwazi wa kuiba pesa ya bure hawataiba? Kila mmoja ana jibu lake, jitafakari. Kama ulivyosema, Mungu awatangulie wapate haki yao be if in the negative as long as haki imetendeka.

~~>Wewe kweli mwehu...Pesa ya Bure inapatikana wap???

JF imevamiwa na Matahira
 
Kitilya amejenga shule ya Elimo Sekondari pale Himo kumbe inatoka na wizi.

NB:
Hii shule ni nzuri sana serikali waichukue.
 
Hakuna anaeweza kueleza hilo. Hata prosecutors wenyewe hawana clue ya kosa ni nini, watamweka kizuizini mwaka mzima huku wanafanya uchunguzi. Wanabahatisha bahatisha tu kwa sababu wako kwenye nchi ambayo overwhelming majority of the population think it is okay to detain and prosecute suspect for years on end.
hata nchi ilioendelea sna duniani ambayo unaiita kwa wenzetu marekani imedetain watu Guantanamo bay for so many years,acha kufikiri hizo nchi nyingine hazidetain watu, think critically, sio unatetea tuukisa wewe ni mmojawapo wa wafaidika na hizo pesa za kutakatisha!
 
Back
Top Bottom